Tamisemi, Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani likizo wasibaki shuleni mtaàla wa sasa unapima ufahamu siyo content based curriculum

Hakika omenena vema... Jamanii tunaomba viongozi wa hii Wizara watusaidie!!!! Tunachojua siku za kusoma zimepangwa ...na siku za mapumziko ndio maana zimewekwaa!! Watoto wanahitaji kupumzika na kujifunza stadi nyingine za maisha nyumbani. Weekend, likizo zote watoto lazima waende shule na wasipoenda walimu Wana wa lable na kuwaadhibu... Hivi kwanini hii Elimu ya sasa imekuwa adhabu Kwa watoto? Tunahitaji kuwafundisha wetu kazi za nyumbani, mashamba I na hata ufugaji... Inatia uchungu sana
 
Mtaala rasmi unatekelezwa ktk mfumo rasmi ambao ni shuleni sio nyumbani au kwingine ,upimaji utanyika kwa mafunzo yanayotolewa shuleni si nyumbani.
 
Huo mtaala mpya kwa sekondari unawahusu kidato cha kwanza na cha pili tuu.
Shule za msingi ni darasa la nne au la tano kushuka chini .
Kwahiyo 'tuition' ipo pale pale ili tujipigie pesa zetu za likizo.
 
Na wao wale wapi sasa
 
Exactly 💯
 
Huo mtaala mpya kwa sekondari unawahusu kidato cha kwanza na cha pili tuu.
Shule za msingi ni darasa la nne au la tano kushuka chini .
Kwahiyo 'tuition' ipo pale pale ili tujipigie pesa zetu za likizo.
🤣🤣Sawa Mkuu
 
Jamii forum leaders tafadhari naomba huu Uzi uwafikie wahusika
Bila shaka Watoa maamuzi wakuu wa Tamisemi wote ni kijani wenzako.

Hivyo labda ningekushauri uwaambie kwenye vikao vya chama.

Jf ina majukumu mengi.
 
Walipeni walimu pesa za maana nyie maCCM waache kuwatumia wanafunzi kama vitega uchumi.
Walimu wananjaa, ka mbwa koko wa kitaa

Kwa nyege za Utajiri saka manoti kama utitiri
 
Karibu vyuo vyote vya tz kuanzia DIT hadi Arusha tech huo mtaala wanautumia . Jee wanafunzi hawafeli nahawasomi sana?
Nadhani hatuelewani kwasababu kwanza hujui maana ya mtaàla ni nini pili hujui dhana ya utekelezaji wa mtaàla hasa Kwenye ujifunzaji na ufundishaji.
Anyway ninaposema competence based curriculum si maanishi mtaàla wakufaulisha au mtaàla wakuwabeba wanafunzi, huu mtaàla umejikita kwenu 4c's kama hujui maana ya 4c's basi achana na hii post
 
kwa mwandiko waku huu pdidy,unatia mashaka mno.
 
Hujui kitu, kwani competence based curriculum Tanzania ni mpya? DIT, Arusha tech, udsm mbona wanatumia na disco na supp kama mvua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…