DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Taja jina la wilaya na kituo cha kazi mara moja.
Ni halmashauri gani hiyo yenye baridi 24hrs/week halafu maji ni sh 600/dumu? Njombe, Arusha, Ngara, Makete na kwingineko serikali ilishamaliza kero za maji na umeme siku nyingi. Wapi huko unakokulalamikia?
Usimuungize mwenzako mkenge,kituo cha kazi? Kutaja wilaya tu kuna watu wanaweza kuconnect dots
 
Habari zenu wadau.

Bila shaka mpo poa aisee, mimi sitochoka kuongea tafadhari ebu wizara husika kupitia vyombo kama PCCB piteni kwenye ma halmashauri ya wilaya mkague pesa za kujikimu.

Tunapitia mazingira magumu jamani toka tulivyoripoti makazini binafsi hata sh.100 sijapewa. Hata ule msaada kutoka tu kwa mkuu wangu wa kituo cha kazi nimeomba sijapata nimejarbu kupiga simu na kutuma sms kwa mkuu wa kazi ngazi ya wilaya na kupiga simu na kutuma sms kwa katibu sijibiwi lolote.

Naishi mazingira magumu nalala chini nipo kwenye wilaya yenye baridi 24 hrs hebu, fikiri halafu nalala kwenye sakafu ambayo natandika shuka moja jingine najifunika.

Dumu moja la maji ni sh.600 hapo sijazungumzia chakula n.k

Nimeshakula sana kwa staff wenzangu hadi naona aibu sasa.

Najua nitaonekana muongeaji sana lakini ngoja niongee huenda nikawasaidia wengine walioshindwa ongea.

Jamani tusaidieni tupate pesa ya kujikimu tena iwe yote kwa pamoja maana nimesikia hii wilaya wanatoaga mara 100,000/= mara sh. Kadhaa mwisho wa siku wanaishia njiani hawajakamilisha hiyo pesa.

Kwa ufupi upande wangu naishi maisha magumu sana hata nashindwa kuelezea yote kwa ujumla.

NAJUA HUMU MPO MPAKA VIONGOZI TUSAIDIENI JAMAN.... [emoji120]🥹
Kiufupi kiongozi yeyote ambaye kwenye hotuba zake anamsifia mama, huyo ni kipngozi safi hana mawaa.

Hao wezi wanalindwa na kipengele hiko
 
Mkuu nimeskia baadhi ya maeneo soon shimo Lina tema Kwa mkao wa ku enjoy
 
Hii serikali yetu saa zingine inawataka watu lawama tu. Mbona wanakopa nje kila siku pesa zinaenda wapi kama huku tunawadai kila kitu?

Kila siku wanatangaza kukopeshwa lakini ndani mfumuko wa bei uko juu, mishahara haitoshi, ajira mpya hawalipwi, posho za mawenge.

Tukisema wanatia mifukoni pesa tutakosea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwenu Bado???? Dogo wangu kanipa mrejesho wameandika barua walipewa maelekezo waambatanishe na tiket za safari deadline ku subimt ilikuwa 1/9 Jana alikosa mwez wa Saba fomu madai amekamilsha
 
Taja jina la wilaya na kituo cha kazi mara moja.
Ni halmashauri gani hiyo yenye baridi 24hrs/week halafu maji ni sh 600/dumu? Njombe, Arusha, Ngara, Makete na kwingineko serikali ilishamaliza kero za maji na umeme siku nyingi. Wapi huko unakokulalamikia?
Mimi uku chanika nanunua. Dumu sh 500, tulia ww acha kuleta siasa
 
Habari zenu wadau.

Bila shaka mpo poa aisee, mimi sitochoka kuongea tafadhari ebu wizara husika kupitia vyombo kama PCCB piteni kwenye ma halmashauri ya wilaya mkague pesa za kujikimu.

Tunapitia mazingira magumu jamani toka tulivyoripoti makazini binafsi hata sh.100 sijapewa. Hata ule msaada kutoka tu kwa mkuu wangu wa kituo cha kazi nimeomba sijapata nimejarbu kupiga simu na kutuma sms kwa mkuu wa kazi ngazi ya wilaya na kupiga simu na kutuma sms kwa katibu sijibiwi lolote.

Naishi mazingira magumu nalala chini nipo kwenye wilaya yenye baridi 24 hrs hebu, fikiri halafu nalala kwenye sakafu ambayo natandika shuka moja jingine najifunika.

Dumu moja la maji ni sh.600 hapo sijazungumzia chakula n.k

Nimeshakula sana kwa staff wenzangu hadi naona aibu sasa.

Najua nitaonekana muongeaji sana lakini ngoja niongee huenda nikawasaidia wengine walioshindwa ongea.

Jamani tusaidieni tupate pesa ya kujikimu tena iwe yote kwa pamoja maana nimesikia hii wilaya wanatoaga mara 100,000/= mara sh. Kadhaa mwisho wa siku wanaishia njiani hawajakamilisha hiyo pesa.

Kwa ufupi upande wangu naishi maisha magumu sana hata nashindwa kuelezea yote kwa ujumla.

NAJUA HUMU MPO MPAKA VIONGOZI TUSAIDIENI JAMAN.... [emoji120]🥹
Sasa wewe medical attendant kweli jana nimekuachia pande la labour ulishindwa kuwapiga hata elfu ishirini ?

Mbona lakini vyakula wanakijiji wanatujali watumishi ? Acha kuwatumia meseji makatibu hawapendi na daily wanasema nikukanye wewe tutaendelea kukujari hivyo usijali subiri mpaka halmashauri ikiamua kuwalipa .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom