reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Kuna halmashauri za kindezi sana,
Kuna halmashauri Dogo flani kaenda,
Kwanza Salary Ya JUNE kapata, Na kwenye usaili waliambiwa Ambaye hatapata Salary Asiende kituoni mpaka waingiziwe,
Amefika kituoni(ni mwalimu) shule Imemlipia kodi ya miezi 3, godoro dogo unapewa ukitaka, na wameripoti wa 3 kituo kimoja wote wamepewa.
Chai, lunch vyote ni shule,
Pesa ya kujikimu Bila shaka mtapewa Mwezi huu, inatofautiana kwa halmashauri, kuna watu wanakula 900k wengine 470k, ni uhuni flani tuu..
Kukosa Salary mara nyingi ni Makosa ya ma afisa utumishi kuchelewa kutuma taarifa, HIO ndio sbb kubwa.
Dogo Pole na vumilia, hii ndio iwe chachu ya kwenda kufanya kazi kwa malengo..
Usiwaze kufia kazini, Usilitoe hilo akilini kama itakufaa.