Mtu kutaka apewe haki yake ya msingi nako ni ujuaji? Kuna watu akili zenu zimekaa kimasikini tu ndio maana hata hao watawala wanafanya wanavyotaka wakijua kuna mazezeta yatakuja kuwatetea.
Hela ya kujikimu sio hisani ni haki ya mtumishi NDIO maana imeitws ya kujikimu kabla hajaingia kwenye payroll. Sasa unapokuja kumpa siku unayojisikia wewe anajikimu kitu gani sasa? Halimashauri zinatakiwa kutenga fedha hiyo na kuweka tayar pale siku wanapopelekewa idadi ya watumishi, Ila kwa hawa Wakurugenzi wa CCM hawawezi kuhangaika na hilo kwani wanajua watumishi wenyewe hawajijui na ukiwatisha kidogo tu wanafyata.