- Thread starter
- #121
Noted sirUsitishwe na mpumbavu, Mimi nishawahi kuajiriwa kwenye Ajira zao zilizokosa staha na wapojaribu kuninyamazsha waliniita wenyewe kuniomba msamaha, ukishakuwa muoga tu watakuona mbuzi tu. Mimi nilimuambia mkurugenzi wao kabisa kuwa hapa nataka haki yangu na kama haipo basi wewe ndio uwe na adabu na sio mimi, unachonizidi ni ukada tu na kujipendekeza kwa aliyekuteua
Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app