DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Una Anza kulia Lia mapema sana utatoboa kweli wewe? Komaa hizo ndio ajira za serikali ya Tanzania msoto ni mwingi sana
Mlipeni haki yake asilie lie nyie ndio mnakatisha watu tamaa wanakimbia then watumishi wanakosekana vijijini.
 
Serikali walipeni Hela zao kwa wakat mbona wabunge hamuwakopi.
Sasa Kama ni mtoto wa kike kwa muda huu si ashaki******#$ sana ili aishi.
 
Una Anza kulia Lia mapema sana utatoboa kweli wewe? Komaa hizo ndio ajira za serikali ya Tanzania msoto ni mwingi sana
Tunatoboa tu sema jaribu fananisha unanyunba yako af ofis ya kijiji inakuletea zengwe kwenye kupata hat ya nyumba yako ko lazima ulie lie ili haki ipatikane.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom