DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

DOKEZO TAMISEMI tusaidieni, tunakufa njaa kwenye vituo vya kazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama ulishariport kwa Nini usingerudi nyumban hadi wakuwekee Hela ya kujikimu...huoni unajitesa Bure?wengine waliambiwa wakae mpk wawekewe Hela ya kujikimu...na huo utaratibu unaeleweka
Uku kwetu tulikokomaliwa tufike kituo ya kaz

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini usisubiri mchongo ukianza kusoma ndio uripoti.

Au huu utaratibu hauwezekani!?
Nafikir inawezekana pia nilijipa matumaini wenda ningepata msaada toka kwenye kituo changu cha kaz lakin aikuwa hivyo.

Ndo ikabdi nianze kufatilia wilayan lakin napo akuna lolote.

Vyeo vinafanya watu wanajusahau sana mkuu.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Nafikir inawezekana pia nilijipa matumaini wenda ningepata msaada toka kwenye kituo changu cha kaz lakin aikuwa hivyo.

Ndo ikabdi nianze kufatilia wilayan lakin napo akuna lolote.

Vyeo vinafanya watu wanajusahau sana mkuu.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Nenda kamuone DED mwenyewe mweleze shida yako, kuna namba za cm za Mganga Mfawidhi, DMO, DED/ RMO/TAMISEMI
 
Umesema unalala chini, zilitoka nafasi za afya na elimu na pesa ya kujikimu imeshatumwa, nijuavyo kwa upande wa afya kuna own source, ongea na mkuu wa kituo au DMO akukopeshe mkuu maana kuna kamati za afya wataelewa somo
Benja netanya: ayo yote nimefanya DMO,KATIBU,MKUU WANGU WA KAZI KATIKA KITUO lakin amna action yyte na ndo maana nkasema hadi kuja apa JAMII jua niko ukingoni.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
ILa mkuu kama ni mtumishi wa umma badilika uandishi wako = hatujapata utakuja kuandika barua serious kwenda hata kwa KM TAMISEMI ukaandika kiswahili cha kihuni wanaweza kukuchukulia hatua za kinidhamu. ni ushauri lakini
Asante wenda njaa ina leta wrong type.
Nimekuelewa sana asante pia.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Benja netanya: ayo yote nimefanya DMO,KATIBU,MKUU WANGU WA KAZI KATIKA KITUO lakin amna action yyte na ndo maana nkasema hadi kuja apa JAMII jua niko ukingoni.

Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Tafuta no za RAS au RC mtumie ujumbe andika kiswahili fasaha acha kiswahili chako cha kihuni, achana na Katibu wa Afya andika kwa RAS/RC/KM TAMISEMI/AFYA/ au Waziri husika tuma ujumbe RAS atampigia DED na DED atamuita DMO haraka sn
 
Back
Top Bottom