uhuru tech
Member
- Apr 16, 2017
- 48
- 52
Usimuungize mwenzako mkenge,kituo cha kazi? Kutaja wilaya tu kuna watu wanaweza kuconnect dotsTaja jina la wilaya na kituo cha kazi mara moja.
Ni halmashauri gani hiyo yenye baridi 24hrs/week halafu maji ni sh 600/dumu? Njombe, Arusha, Ngara, Makete na kwingineko serikali ilishamaliza kero za maji na umeme siku nyingi. Wapi huko unakokulalamikia?
Kiufupi kiongozi yeyote ambaye kwenye hotuba zake anamsifia mama, huyo ni kipngozi safi hana mawaa.Habari zenu wadau.
Bila shaka mpo poa aisee, mimi sitochoka kuongea tafadhari ebu wizara husika kupitia vyombo kama PCCB piteni kwenye ma halmashauri ya wilaya mkague pesa za kujikimu.
Tunapitia mazingira magumu jamani toka tulivyoripoti makazini binafsi hata sh.100 sijapewa. Hata ule msaada kutoka tu kwa mkuu wangu wa kituo cha kazi nimeomba sijapata nimejarbu kupiga simu na kutuma sms kwa mkuu wa kazi ngazi ya wilaya na kupiga simu na kutuma sms kwa katibu sijibiwi lolote.
Naishi mazingira magumu nalala chini nipo kwenye wilaya yenye baridi 24 hrs hebu, fikiri halafu nalala kwenye sakafu ambayo natandika shuka moja jingine najifunika.
Dumu moja la maji ni sh.600 hapo sijazungumzia chakula n.k
Nimeshakula sana kwa staff wenzangu hadi naona aibu sasa.
Najua nitaonekana muongeaji sana lakini ngoja niongee huenda nikawasaidia wengine walioshindwa ongea.
Jamani tusaidieni tupate pesa ya kujikimu tena iwe yote kwa pamoja maana nimesikia hii wilaya wanatoaga mara 100,000/= mara sh. Kadhaa mwisho wa siku wanaishia njiani hawajakamilisha hiyo pesa.
Kwa ufupi upande wangu naishi maisha magumu sana hata nashindwa kuelezea yote kwa ujumla.
NAJUA HUMU MPO MPAKA VIONGOZI TUSAIDIENI JAMAN.... [emoji120]🥹
Sahihi mkuuUsimuungize mwenzako mkenge,kituo cha kazi? Kutaja wilaya tu kuna watu wanaweza kuconnect dots
Sahihi mkuu uzur Hana deni alipata sapoti toka marafik ya nauli sio mkopoKama atapata na ya kujikimu kabsa atakuwa amevuta pesa ndefu,akumbuke kulipa madeni kama anayo pia abakize pesa ya dharula kwenye AC.
Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Nzuri hiyo.Sahihi mkuu uzur Hana deni alipata sapoti toka marafik ya nauli sio mkopo
[emoji16][emoji16][emoji18] sir J. Hii nchi bana we acha.Bado haujapata?
Sijui una taaluma gani ila hujui kabisa kuandika.Ata kunyanduan nawaza sasa nmebakiza nguvu za kikojolea tu naana hormon ya unyanduz isipo pata chakula ikawa na stres ufnyi kitu
Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
Mimi uku chanika nanunua. Dumu sh 500, tulia ww acha kuleta siasaTaja jina la wilaya na kituo cha kazi mara moja.
Ni halmashauri gani hiyo yenye baridi 24hrs/week halafu maji ni sh 600/dumu? Njombe, Arusha, Ngara, Makete na kwingineko serikali ilishamaliza kero za maji na umeme siku nyingi. Wapi huko unakokulalamikia?
Sasa wewe medical attendant kweli jana nimekuachia pande la labour ulishindwa kuwapiga hata elfu ishirini ?Habari zenu wadau.