Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo. Kumbe zilikuwa hewa na TAMISEMI walijua hawawapangii watu kabisa katika nafasi hizo. La kujiuliza, kama walijua hawapangi mtu katika nafasi hizo kwanini hakuziondoa na kuweka nafasi ya watu kugombea kwa usawa nafasi zilizopo?View attachment 2272846
Ndio habari inayo trendKumbe PDF tayari
Dah!Mungu tusaidie
Aisee namimi nimeangalia hapa ni shule moja tu kwa masomo niliyoomba ndio Ile nafasi imejazwa n mtu....Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo...
Labda 2024Dah sijui nafasi nyingine za ajira zinatoka lini.
2029Dah sijui nafasi nyingine za ajira zinatoka lini.
Watu wengi sana wanaangalia wanakutana na kitu hicho.. kuna mmoja nafasi zote 5 alizo chagua hamna aliyechukuliwa hata nafasi moja katika masomo ya shule alizoombaAisee namimi nimeangalia hapa ni shule moja tu kwa masomo niliyoomba ndio Ile nafasi imejazwa n mtu....
View attachment ELIMU_AJIRA_JUNI2022_compressed.pdfjamani wekeni link basi
Hii si lawama, ila nikotoa taarifa kuwa kinachofanywa watu wamekijua.. wakati mwingine kifanyike sahihi.. kulikuwa na shida gani kuweka nafasi zenye uhitaji hadi waweke nafasi hewa?Kuwa mvumilivu kaka, Mungu hamtupi mja wake.
Omba sana mola atakufanyia wepesi siku moja.
Hawawezi kupata wote haijalishi mnavigezo sawa.
Acha kabisa kutoa lawama ni kitu kibaya kwenye maisha.