Sir_Finus
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 330
- 139
Pamoja na nafasi kutangazwa na kutolewa majina yaliyokamilika kwa nafasi za ualimu, Nasikitika kuwa katika nasi ambazo zilionyeshwa kuwa kuna nafasi na watapangiwa watu katika nafasi hizo.
Kumbe zilikuwa hewa na TAMISEMI walijua hawawapangii watu kabisa katika nafasi hizo. La kujiuliza, kama walijua hawapangi mtu katika nafasi hizo kwanini hakuziondoa na kuweka nafasi ya watu kugombea kwa usawa nafasi zilizopo?
Katika nafasi zote hizo 5, amepangiwa mtu mmoja tu kwa shule ya Rutamba. Hizo nyingine zote hamna aliyepangiwa