TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

sakute sana mkuu
naomba unijibu PM kule
 
Jamani msaada ndugu zangu, nimeattach vyeti mara mbili ile sehemu ya accademic qualification kipengele cha kujaza cheti cha chuo( cheti kimeongezwa mara mbili), hii imekaaje na maombi nimeshatuma,je nitazingatiwa? Na kuna rafiki yangu pia yeye sehemu ya recommendation letter kaweka barau yake ya kuomba kazi na mwishoni pia kaiweka na maombi yameenda na hili pia linakaaje? Kwa wazoefu jamani
 
Cheti kimeongezwa mara mbili(ila ni cheti hicho hicho), binafsi nafikiri hamna kosa hapa, wataelewa kuwa uliweka kimakosa, na kama cheti kipo valid, watakipokea.

Jamaa kaweka barua kwenye sehemu ya recommendation, pia kaweka sehemu sahihi. Recommendation sio muhimu, haiwezi kumdisqualify.

Hitimisho: Binafsi naoma hamna tatizo.

Kama una wasiwasi, wapigie PSRS waeleze hilo jambo watalitatua
 
Asante sana mkuu kwa mawazo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…