Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sio lazima pc, ht Simu Inawezekana hapo n system tuu inachelewa ila kila kitu kipo sawaNenda kwa pc inakuwa imechange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima pc, ht Simu Inawezekana hapo n system tuu inachelewa ila kila kitu kipo sawaNenda kwa pc inakuwa imechange
sawa mkuuKama una uhakika umeweka hvy ambavyo n certified bc tulia Baada ya muda utavikuta vipo, ht ukibadili picha hua unaona imebaki ile ile ila baada ya muda unakuta imekaa ile mpya, n system hua inachelewa.
Baadae unaweza kuchek tena kuona kama zimekaa hizo ulizo certifiedsawa mkuu
saiv wananiletea notification ya "Error: you can not edit academic qualifications" na hakuna changes yoyoteBaadae unaweza kuchek tena kuona kama zimekaa hizo ulizo certified
👇Mimi picha inagoma kuwekwa kwenye profile picture. Nifanyeje?
Kama una uhakika umeweka hvy ambavyo n certified bc tulia Baada ya muda utavikuta vipo, ht ukibadili picha hua unaona imebaki ile ile ila baada ya muda unakuta imekaa ile mpya, n system hua inachelewa.
Duh sio kwamba itakuwa ulikuwa unabadili mara nyingi? Em acha leo ipite afu ujaribu tena kesho. I prefer Baada ya 24hrssaiv wananiletea notification ya "Error: you can not edit academic qualifications" na hakuna changes yoyote
shukran kwa ushauri mkuuDuh sio kwamba itakuwa ulikuwa unabadili mara nyingi? Em acha leo ipite afu ujaribu tena kesho. I prefer Baada ya 24hrs
sakute sana mkuuNaona mmeanza kunielewa , magufuri alikuwa ni rais wa hovyoo Toka nchi imepata uhuru, alikuwa Na roho mbaya, aliwachukia wasomi, aliwachukia matajiri, nataka nikupe Siri moja ambayo unaweza usiikubali,.......haya mambo ya connection hasa kwenye ajira yalizidi sana hasa kipindi cha magufuri..ulikuwa huwezi kupata ajira mpaka uwe kada wa chama cha ccm , ulikuwa huwezi kupata ajira kama wewe sio msukuma au mtu wa kanda ya ziwa, ulikuwa huwezi kupata ajira mfano za Tamisemi kama huna mtu wa kukushika mkono ni wachache sana waliopata ajira za Tamisemi kwa uwezo wao. Hili la Ajira la Tamisemi kuwa recruited Na utumishi ni moja wapo ya sababu ya kupunguza mambo ya connection Mimi ni moja ya watu tuliomuandikia barua ya malalamiko kwa mheshimiwa waziri Mohammed mchengerwa, tulilalamika sana tena kwa uchungu...ndio maana unaona ajira zimehamishiwa kule😎😎
Sawasakute sana mkuu
naomba unijibu PM kule
barikiwa sanaSawa
Nakutumia Leo Na pia jitahidi umtafute Leo hii hiibarikiwa sana
Niko Free sana leo Nafanya hivyo chiefNakutumia Leo Na pia jitahidi unitafute Leo hii hii
Mkuu soma sana jiande hawana mzahaKwa wale wazoefu na ajira za utumishi hivi interview zao Huwa zinakuwaje? Ni maswali ya darasani kabisa au ndio field qns?
Hahahaha me mwenyewe nimeshangaa hapa ndio tunaweza kukubaliana kuwa ajira zote zitolewe kwa kupitia usahili😂😂😂😂😂Sasa umesoma uuguzi na ukunga halfu unasema ajira za ukunga haizioni unamaanisha nini au mawenge
Aisee tena diploma hajui unachotaka kwenye maisha.Hahahaha me mwenyewe nimeshangaa hapa ndio tunaweza kukubaliana kuwa ajira zote zitolewe kwa kupitia usahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani msaada ndugu zangu, nimeattach vyeti mara mbili ile sehemu ya accademic qualification kipengele cha kujaza cheti cha chuo( cheti kimeongezwa mara mbili), hii imekaaje na maombi nimeshatuma,je nitazingatiwa? Na kuna rafiki yangu pia yeye sehemu ya recommendation letter kaweka barau yake ya kuomba kazi na mwishoni pia kaiweka na maombi yameenda na hili pia linakaaje? Kwa wazoefu jamaniNimemfanyia rafiki yangu Application leo.
Tulijadili na jamaa yangu achague mikoa 5 then aombe hiyo mikoa.
Ila nilipoanza kuomba mkoa wa kwanza, nilipomaliza, zikaandika kwa pamoja kwenye nafasi zote mikoa yote kuwa ALREADY APPLIED then jina la Mwajiri likajitokeza ni MDAs and LGAs kule kwenye MY APPLICATIONS.
Kwa hiyo utakapoomba mara moja ndio imeisha hiyo, itabaki sasa utakapoitwa kwenye Interview na ukatusua, utaweza kupangiwa mkoa wowote au mkoa ulioomba wakati wa ApplicationView attachment 3036746
Omba hizo za nursingAsante
Kozi iliyosomwa ni Diploma in nursing and midwifery
Cheti kimeongezwa mara mbili(ila ni cheti hicho hicho), binafsi nafikiri hamna kosa hapa, wataelewa kuwa uliweka kimakosa, na kama cheti kipo valid, watakipokea.Jamani msaada ndugu zangu, nimeattach vyeti mara mbili ile sehemu ya accademic qualification kipengele cha kujaza cheti cha chuo( cheti kimeongezwa mara mbili), hii imekaaje na maombi nimeshatuma,je nitazingatiwa? Na kuna rafiki yangu pia yeye sehemu ya recommendation letter kaweka barau yake ya kuomba kazi na mwishoni pia kaiweka na maombi yameenda na hili pia linakaaje? Kwa wazoefu jamani
Asante sana mkuu kwa mawazo yakoCheti kimeongezwa mara mbili(ila ni cheti hicho hicho), binafsi nafikiri hamna kosa hapa, wataelewa kuwa uliweka kimakosa, na kama cheti kipo valid, watakipokea.
Jamaa kaweka barua kwenye sehemu ya recommendation, pia kaweka sehemu sahihi. Recommendation sio muhimu, haiwezi kumdisqualify.
Hitimisho: Binafsi naoma hamna tatizo.
Kama una wasiwasi, wapigie PSRS waeleze hilo jambo watalitatua