TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Na huyu mwenzangu aliesahau password anasaidikaje mtaalamu , Tunakushukuru kwa kuwa mtu wa msaada sana hasa wakati huu?
Awapigie PSRS atasaidiwa namna ya kurestore password

Wale ambao wapo Dodoma na wanashida za Portal waende moja kwa moja Migiro wakapate huduma. Simu huwa hazipokelewi mapema
 
aseee umeua sana
ila hapa penye kutumia app kupata huo muhuri wa mwanasheria kutatusaidia sana sisi wagonga ulimbo

kuna wanasheria wanakabia sana kwa juu huku mikoani cheti kimoja muhuri buku tano
 
aseee umeua sana
ila hapa penye kutumia app kupata huo muhuri wa mwanasheria kutatusaidia sana sisi wagonga ulimbo

kuna wanasheria wanakabia sana kwa juu huku mikoani cheti kimoja muhuri buku tano
Kwel kabisa hapo mpo kikundi mnamchangia mmoja halafu wote nyie mnautumia huo huo mhuri mmoja
 
Tafuta picha ambayo ni nzuri kabisa, backgrou ya blue/blue bahari.

Usikubali kuja kutokuwa shortlisted kwa mambo madogo madogo kama hayo
Asanteni sana nimefanikiwa. Na nimetuma kwa kuedit barua na kusubmitt japo ni mara kadhaa nadhani pia isije ikanifanya niwe disqualified kwa sababu nina edit sana😅😅
 
Asanteni sana nimefanikiwa. Na nimetuma kwa kuedit barua na kusubmitt japo ni mara kadhaa nadhani pia isije ikanifanya niwe disqualified kwa sababu nina edit sana[emoji28][emoji28]
Usiwe na hofu.

Endelea kuhakikia tena nyaraka ulizopakia isije ukawa umekosea sehemu na haujaona, ili ukiona penye kosa urekebishe.

Nashauri ushanye hivyo kwa sasa hadi tarehe ya mwisho ya Application, then baada ya hapo uache kufanya mabadiliko na uwaachie PSRS wachakate maombi bila kuwapa usumbufu endapo utakuwa unarekebisha vitu kwa muda huo
 
Sina kingine zaidi ya cheti icho kimoja nilicho attach mara mbili sehemu ya accademic qualification ambapo hakuna option ya delete, na chanzo cha kuatach itokee mara mbili ilikuwa kwenye orodha chuo changu kimeandikwa ruaha university college(Ruco) nikaatach cheti, baada ya hapo nikawaza kwenye cheti imeandikwa Ruaha catholic university (Rucu) hivyo nikaselect others nikaattach tena cheti icho icho na sikujua kama nisingeweza kufuta ile ya mwanzo, japo Ruco na Rucu ni sawa tu utofauti ni zamani ilikuwa ruco na sasa ni rucu.
Ahsante nawasilisha mwenye ushauri zaidi asisite kunipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…