Wakuu
Naomba nitoe ushauri wangu japokuwa sio wa lazima sana hvy unaweza kuuchukua au kuacha.
1: Lugha ya kuandika barua.
2: Unaweza kufanya kila kitu kwenye simu yako (apps za kukusaidia kumaliza maombi yako)
1: LUGHA YA KUANDIKA BARUA.
Hapa ushauri wangu ni angalia post ya kazi imeandikwa kwa lugha ipi, kama ni Kiswahili bc andika kwa Kiswahili au Kiingereza ila kama post ya kazi ni kwa Kingereza aisee usijaribu kuandika kwa Kiswahili ishi hapo hapo kwenye Kingereza.
2: UNAWEZA KUFANYA KILA KITU KWENYE SIMU YAKO (APPS ZA KUKUSAIDIA KUMALIZA MAOMBI YAKO.
Kama unatumia android ndio unyama sana.
Kwanza, kabisa ni browser ya kutumia binafsi nashauri iwe
Chrome.
Pili, download app ya
Microsoft Word ambayo utakuwezesha kuandika barua pamoja na CV.
Tatu, download app ya kuhifadhia pdf zako binafsi natumia
Adobe Acrobat.
Nne, download app ya
background erase. Hii n kwa ajili ya kukusaidia ku-sign barua zako hasa hasa sign ile ya mchanganyiko. Kwanza kabisa andika sign yako kwenye karatasi nyeupe halafu iweke kwenye hy app ya background erase Na uondoe hy karatasi nyeupe ili ibaki sign pekee yake na hapo I-save utaikuta hy sign yako iko kwa mfumo wa picha ikiwa sign tuu bila kuwa na ile karatasi nyeupe.
Hapa nawaonyesha sign yangu ambayo nayoitumia
Kabla:
View attachment 3039416
Baada:
View attachment 3039425
Tano, download app ya
Doc Sign hii itakusaidia kuweka sign kwenye ile barua yako ya maombi, sasa unatakiwa uifungue na kuingiza pdf yako ya maombi hy hy app na itakuletea option ya kuweka sign kupitia picha ulizonazo kwenye simu yako na hapo ndipo utaenda kwenye ile sign yako uliyoitengeneza na utaiweka sehemu sahihi hapo kwenye pdf ya barua yako na baada ya hapo utaisave na ku-share kwenye app ya Adobe Acrobat Na hapo Itakuwa imekamilika barua yenye sign.
Baada ya hapo itakuwa tayari kwa ajili ya kuipost kwenye mfumo wa ajira Portal.
NYONGEZA:
Kama huna pesa ya kwenda kwa wakili/mwanasheria kwa ajili ya kupiga mhuri unaweza kumtafuta rafiki yako ambaye tayari ana vyeti ambazo zimepigwa mhuri wa mwanasheria na ukatumia app ya background erase ku-copy huo muhuri na kuuhamishia kwenye vyeti vyako.
Copyright © Mbaga Jr 😂