TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Na huyu mwenzangu aliesahau password anasaidikaje mtaalamu , Tunakushukuru kwa kuwa mtu wa msaada sana hasa wakati huu?
Awapigie PSRS atasaidiwa namna ya kurestore password

Wale ambao wapo Dodoma na wanashida za Portal waende moja kwa moja Migiro wakapate huduma. Simu huwa hazipokelewi mapema
 
Wakuu

Naomba nitoe ushauri wangu japokuwa sio wa lazima sana hvy unaweza kuuchukua au kuacha.

1: Lugha ya kuandika barua.
2: Unaweza kufanya kila kitu kwenye simu yako (apps za kukusaidia kumaliza maombi yako)


1: LUGHA YA KUANDIKA BARUA.

Hapa ushauri wangu ni angalia post ya kazi imeandikwa kwa lugha ipi, kama ni Kiswahili bc andika kwa Kiswahili au Kiingereza ila kama post ya kazi ni kwa Kingereza aisee usijaribu kuandika kwa Kiswahili ishi hapo hapo kwenye Kingereza.


2: UNAWEZA KUFANYA KILA KITU KWENYE SIMU YAKO (APPS ZA KUKUSAIDIA KUMALIZA MAOMBI YAKO.

Kama unatumia android ndio unyama sana.

Kwanza, kabisa ni browser ya kutumia binafsi nashauri iwe Chrome.

Pili, download app ya Microsoft Word ambayo utakuwezesha kuandika barua pamoja na CV.

Tatu, download app ya kuhifadhia pdf zako binafsi natumia Adobe Acrobat.

Nne, download app ya background erase. Hii n kwa ajili ya kukusaidia ku-sign barua zako hasa hasa sign ile ya mchanganyiko. Kwanza kabisa andika sign yako kwenye karatasi nyeupe halafu iweke kwenye hy app ya background erase Na uondoe hy karatasi nyeupe ili ibaki sign pekee yake na hapo I-save utaikuta hy sign yako iko kwa mfumo wa picha ikiwa sign tuu bila kuwa na ile karatasi nyeupe.

Hapa nawaonyesha sign yangu ambayo nayoitumia
Kabla:
View attachment 3039416
Baada:
View attachment 3039425

Tano, download app ya Doc Sign hii itakusaidia kuweka sign kwenye ile barua yako ya maombi, sasa unatakiwa uifungue na kuingiza pdf yako ya maombi hy hy app na itakuletea option ya kuweka sign kupitia picha ulizonazo kwenye simu yako na hapo ndipo utaenda kwenye ile sign yako uliyoitengeneza na utaiweka sehemu sahihi hapo kwenye pdf ya barua yako na baada ya hapo utaisave na ku-share kwenye app ya Adobe Acrobat Na hapo Itakuwa imekamilika barua yenye sign.

Baada ya hapo itakuwa tayari kwa ajili ya kuipost kwenye mfumo wa ajira Portal.


NYONGEZA:
Kama huna pesa ya kwenda kwa wakili/mwanasheria kwa ajili ya kupiga mhuri unaweza kumtafuta rafiki yako ambaye tayari ana vyeti ambazo zimepigwa mhuri wa mwanasheria na ukatumia app ya background erase ku-copy huo muhuri na kuuhamishia kwenye vyeti vyako.

Copyright © Mbaga Jr 😂
aseee umeua sana
ila hapa penye kutumia app kupata huo muhuri wa mwanasheria kutatusaidia sana sisi wagonga ulimbo

kuna wanasheria wanakabia sana kwa juu huku mikoani cheti kimoja muhuri buku tano
 
aseee umeua sana
ila hapa penye kutumia app kupata huo muhuri wa mwanasheria kutatusaidia sana sisi wagonga ulimbo

kuna wanasheria wanakabia sana kwa juu huku mikoani cheti kimoja muhuri buku tano
Kwel kabisa hapo mpo kikundi mnamchangia mmoja halafu wote nyie mnautumia huo huo mhuri mmoja
 
Tafuta picha ambayo ni nzuri kabisa, backgrou ya blue/blue bahari.

Usikubali kuja kutokuwa shortlisted kwa mambo madogo madogo kama hayo
Asanteni sana nimefanikiwa. Na nimetuma kwa kuedit barua na kusubmitt japo ni mara kadhaa nadhani pia isije ikanifanya niwe disqualified kwa sababu nina edit sana😅😅
 
1000107787.jpg
 
Asanteni sana nimefanikiwa. Na nimetuma kwa kuedit barua na kusubmitt japo ni mara kadhaa nadhani pia isije ikanifanya niwe disqualified kwa sababu nina edit sana[emoji28][emoji28]
Usiwe na hofu.

Endelea kuhakikia tena nyaraka ulizopakia isije ukawa umekosea sehemu na haujaona, ili ukiona penye kosa urekebishe.

Nashauri ushanye hivyo kwa sasa hadi tarehe ya mwisho ya Application, then baada ya hapo uache kufanya mabadiliko na uwaachie PSRS wachakate maombi bila kuwapa usumbufu endapo utakuwa unarekebisha vitu kwa muda huo
 
Usiwe na hofu.

Endelea kuhakikia tena nyaraka ulizopakia isije ukawa umekosea sehemu na haujaona, ili ukiona penye kosa urekebishe.

Nashauri ushanye hivyo kwa sasa hadi tarehe ya mwisho ya Application, then baada ya hapo uache kufanya mabadiliko na uwaachie PSRS wachakate maombi bila kuwapa usumbufu endapo utakuwa unarekebisha vitu kwa muda huo
Sina kingine zaidi ya cheti icho kimoja nilicho attach mara mbili sehemu ya accademic qualification ambapo hakuna option ya delete, na chanzo cha kuatach itokee mara mbili ilikuwa kwenye orodha chuo changu kimeandikwa ruaha university college(Ruco) nikaatach cheti, baada ya hapo nikawaza kwenye cheti imeandikwa Ruaha catholic university (Rucu) hivyo nikaselect others nikaattach tena cheti icho icho na sikujua kama nisingeweza kufuta ile ya mwanzo, japo Ruco na Rucu ni sawa tu utofauti ni zamani ilikuwa ruco na sasa ni rucu.
Ahsante nawasilisha mwenye ushauri zaidi asisite kunipa
 
Back
Top Bottom