Email ya kwanza kuitumia kufungulia akaunti ndio itatumiwa hy link ya kuactiveMimi ninatumia PC kumuombea, sasa jana nimejaribu kwa kumsajili kwa kutumia email nyingine, kumbe kwenye simu yake anatumia email nyingine, ndio maana nawaza huo ujumbe wa Ku activate akaunti yake ya ajira portal utatumwa wapi, au nianze upya tu mchakato wa kumsajilia akaunti mpya?
Kwanza mfumo una ruhusu account moja tuu! Kama unaongelea email basi email itayapokea ujumbe wa kuhuisha account yako ni ile email uliotumia kufungua account ajira portal!Kuna kitu hapa kingine, akaunti niliyomfungulia ajira portal ina utofauti na anayotumia kwenye simu yake, yaani email mbili tofauti, je hapo kwenye huo ujumbe wa kufanya akaunti yake ya ajira portal iwe active utatumwa wapi, maana ni email mbili tofauti.
Kwa taarifa yako nina oral mwaka jana nimepiga interview taasisi kubwa tu ya afya ba tulikuwa 700+ na nikapita sasa sijui kipi unadhani naogopaJamaa inaonyesha anaogopa knoma interview, na kama kutakuwa na interview sidhan kama ataenda huyu lazima alale home kuendelea kusubiri kazi zisizokuwa na Interview
Sasa mbona una maswali mengi ya kitoto uliposikia Interview kazi za afya safari hii?Kwa taarifa yako nina oral mwaka jana nimepiga interview taasisi kubwa tu ya afya ba tulikuwa 700+ na nikapita sasa sijui kipi unadhani naogopa
Nimechoka tu.Sasa mbona una maswali mengi ya kitoto uliposikia Interview kazi za afya safari hii?
Hiyo HapoHuyu jamaa inabidi atuonyeshe akaunti yake kuanzia mwanzo hadi mwisho ili kama kuna makosa tumsaidie kurekebisha kabla ya deadline
Utawala2025
Kama ww n jobless bc huwez kuchoka InterviewNimechoka tu.
Kufanya interview.
Kwahy interview ya kwanza uliingia mitini au siyo 😂
Tell us about yourself🤣🤣😂😂😂Interview ni lazima na kuna vigezo na masharti yani unaweza kosa kazi kisa ujaweka sahihi barua ya maombi au ujaweka picha kwenye mfumo au ujaverify vyeti…..! Kuwa serious unapofanya maombi haya! Jiandae na usaili wa kuandika na kuongea kimombo 😂😂😂😂😂😂😂
Ebu soma vizuri hapo kweny boksi jekundu unisaidie na mimi kuelewaBro, sijakuelewa.
Yn atulie mpaka atakapoitwa interview ndio abadili anuani kvp wakat wakiitwa maana ake tayari watakuwa wameshaandaliwa sehemu pa kufanyia usaili?
Au unamaanisha kuitwa usaili na kufanya usaili n vitu viwili tofauti?
Tupe mwanga maswali ya oral yanakuwaje mkuu, english or swahili or both? Na yanakuwa ya darasani au ni yale maswali trick kama utaifanyia nini kampuni tukikuajiri au utakuwa nani baada ya miaka 8😅
Sikwenda halfu ilikuwa nyepesi na waliongia oral wengi waliitwa kaziniKwahy interview ya kwanza uliingia mitini au siyo [emoji23]
Ajira za mwaka jana za wizara hazikupitia utumishi kwa maana ya Psrs...ila zilipitia portal maalumu ya wizara ya afya wenyewe kama ambavyo ilivyokuw kwa portal ya tamisemi kwa ajira za mwaka jana.Mwaka jana wizara ya afya walitoa ajira post 289 na waliomba kupitia Utumishi waliitwa kazini na hawakufanya interview.
Ndio. Ukiapply mkoa mmoja...automatically na mikoa mingine inakuw " already applied " Unaweza pangiwa popote pale. Usifikiri ni hapo tu ulipochaguaNa je Kuna uwezekano mtu akaomba mfano singida lakini akaja kupangiwa mkoa mwingine?
Kila mkoa una kituo chake. Utafanya mtihani katika kituo kilichopo mkoa husika.Asante Kwa ufafanuzi ulionyooka. Swali Moja haujafafanua/kujibu ambalo ni kwamba: mfano Mimi musangaa nimeomba nafasi ya daktari bingwa mkoa wa katavi nimejaza anuani yangu mkoa wa Mtwara, je interview itanihitaji niende mkoani katavi au niabaki hapo hapo Mtwara? Kumbuka hii ni online interview kama ulivyodadafua. Kama itanihitaji nifanyie huko huko Mtwara, naweza kwenda kwenye vituo vyao pendekezwa kulingana na watakavyoelekeza, je ikitokea nipo mkoani Mara nitatakiwa kusafiri kwenda Mtwara kwenye anuani niliyojaza au mfumo utanikubalia kusailiwa hata kama nitakuwa Mara huko huko Kwa nafasi ya daktari bingwa niliyoomba mkoa wa katavi?
Ufahamu.Tupe mwanga maswali ya oral yanakuwaje mkuu, english or swahili or both? Na yanakuwa ya darasani au ni yale maswali trick kama utaifanyia nini kampuni tukikuajiri au utakuwa nani baada ya miaka 8[emoji28]
Kijana interview utafanya kwenye kituo kilicho sehemu ulipo. Kumbuka kabla ya kufanya usaili, kama application zako ziko sawa, utapewa examination number. Hiyo examination number ni kwa ajili ya usaili wa nafasi uliyoomba. Hata kama utafanyia mtihani kwa kituo cha Dar es salaam na umeapply Iringa. Inaruhusiwa.Nyie mnajua hamjaomba kazi halfu wajuaji sana.
Mimi nimeaplai kazj iringa.
Ila current location Dar.
Haya niambie interview nitaitwa wapi?
Ukifungua account kwa mara ya kwanza. Kuna email unatumiwa kuactivate account. Nenda inbox ya email uliyoombea , utakuta activation email.Kuna mtu nina jaribu kumuombea nafasi za afya, nimesha sajili akaunti, tatizo nikianza tu ku apply hiyo nafasi inaandika Account Inactive, je nifanye nini hapo?
Achana na mmKijana interview utafanya kwenye kituo kilicho sehemu ulipo. Kumbuka kabla ya kufanya usaili, kama application zako ziko sawa, utapewa examination number. Hiyo examination number ni kwa ajili ya usaili wa nafasi uliyoomba. Hata kama utafanyia mtihani kwa kituo cha Dar es salaam na umeapply Iringa. Inaruhusiwa.
Kama hauelewi hizi kazi watafute psrs kwa maelekezo