TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Kwenye professional qualification system hainipi nafasi ya ku upload vyeti vyangu vya taaluma ikiwemo leseni, transcriptna cheti au hii ndio inaweza sababu kwann application inagoma?
 

Attachments

  • Screenshot_20240715-004450.jpg
    157.6 KB · Views: 8
Kwenye professional qualification system hainipi nafasi ya ku upload vyeti vyangu vya taaluma ikiwemo leseni, transcriptna cheti au hii ndio inaweza sababu kwann application inagoma?
Yaah hii ndio sababu ! Hakikisha vitu vimekaa vyote… jaribu hata kulog out kwanza lakini lazima kila kitu kikae na hakikisha kina kaa sehemu husika! Vinapokaa vyeti sipo itakapo kaa leseni ..
 
Mwifwa huko sahihi,ndivyo ilivyo mm nimefanya hii online na tuliambiwa hivyo baada ya shortlist kutoka tufanye ku update taarifa ili upangiwe kituo cha mkoa ulipo kwa muda huo unaenda kwenye current address unabadili

Shida inapokuja ni kwamba vijana hawaelewi halafu hawataki kueleweshwa wanakaza fuvu😀😀 tena usipokaa vizuri anakuachia na tusi😀😀 mambo ya Gen z haya
 
Ahsante sana mkuu imekubali .

Sasa naomba unifahamishe leseni naiweka wapi maana sioni option ya kuweka leseni.
Bonyeza kitufe cha plus (+)

Jaza kama inavyoonekana hapa kwenye picha kulingana na Baraza lako la kitaaluma.

Kwenye Year From to andika mwaka uliposajiliwa na Baraza hadi mwaka huu(angalia mfano nilivyojaza hapo).

Mwngine yanajieleza, then utaattach hiyo leseni hai na kusave
 
Hahahaa

Nimeeleza hadi nikaamua kuutua mjadala, wasubiri siku wakiitwa watapewa muongozo wanaouamini
 
We
Kwahiyo zitakuja kutangazwa zingine za tamisemi direct au ndo ajira portal na sababu ya kubadilisha mfumo Kuwa wa ajira portal ni Nini?
A
Kwa taarifa yako nina oral mwaka jana nimepiga interview taasisi kubwa tu ya afya ba tulikuwa 700+ na nikapita sasa sijui kipi unadhani naogopa
Acha uongo wako hapa wewe mwenyewe umesema upo dar ila umeomba kazi iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…