Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah hii ndio sababu ! Hakikisha vitu vimekaa vyote… jaribu hata kulog out kwanza lakini lazima kila kitu kikae na hakikisha kina kaa sehemu husika! Vinapokaa vyeti sipo itakapo kaa leseni ..Kwenye professional qualification system hainipi nafasi ya ku upload vyeti vyangu vya taaluma ikiwemo leseni, transcriptna cheti au hii ndio inaweza sababu kwann application inagoma?
Hiyo Uliyoweka c ndo tayar n professional qualifications?Mkuu nisaidie hapa system hainipi option ya kuweka professional qualification yaani siwez kuweka leseni Wala transcript
Ahsante sana mkuu imekubali .Hiyo Uliyoweka c ndo tayar n professional qualifications?
Transcript Ipo kule kwenye academic qualifications ndipo utaona sehemu pa kuweka Transcript
Mwifwa huko sahihi,ndivyo ilivyo mm nimefanya hii online na tuliambiwa hivyo baada ya shortlist kutoka tufanye ku update taarifa ili upangiwe kituo cha mkoa ulipo kwa muda huo unaenda kwenye current address unabadiliLabda tuseme hilo tangazo limeandikwa vibaya, linasema "kwa wale walioitwa kwenye usahili wa u update anwani zao ili wapangiwe vituo vya usahili vilivyo karibu nao"
Hapo wamezingatia kuwa, watu wanafanya movements za kila mara kwenye utafutaji ambapo anaweza kukutwa na muda wa usahili akiwa sehemu nyingine mbali na makazi yake.
Ebu tuchukulie wewe upo Dar kwa sasa ila wakati ukiendelea kusubiri call for Interview ukapata dharura ukaenda Mwanza, ukiwa Mwanza call for Interview zikatoka na inabidi ukafanyie usahili Dar. Sasa kwa kurahisisha wakasema "Wale walioitwa wabadili anwani zao ili waweze kufanya walipo kwa muda huo"
Hadi hapa unaonaje huu mtindo?
Academic QualificationsMkuu nisaidie hapa system hainipi option ya kuweka professional qualification yaani siwez kuweka leseni Wala transcript
Weka kwenye professional qualificationsAhsante sana mkuu imekubali .
Sasa naomba unifahamishe leseni naiweka wapi maana sioni option ya kuweka leseni.
Bonyeza kitufe cha plus (+)Ahsante sana mkuu imekubali .
Sasa naomba unifahamishe leseni naiweka wapi maana sioni option ya kuweka leseni.
HahahaaMwifwa huko sahihi,ndivyo ilivyo mm nimefanya hii online na tuliambiwa hivyo baada ya shortlist kutoka tufanye ku update taarifa ili upangiwe kituo cha mkoa ulipo kwa muda huo unaenda kwenye current address unabadili
Shida inapokuja ni kwamba vijana hawaelewi halafu hawataki kueleweshwa wanakaza fuvu[emoji3][emoji3] tena usipokaa vizuri anakuachia na tusi[emoji3][emoji3] mambo ya Gen z haya
AKwahiyo zitakuja kutangazwa zingine za tamisemi direct au ndo ajira portal na sababu ya kubadilisha mfumo Kuwa wa ajira portal ni Nini?
Acha uongo wako hapa wewe mwenyewe umesema upo dar ila umeomba kazi iringaKwa taarifa yako nina oral mwaka jana nimepiga interview taasisi kubwa tu ya afya ba tulikuwa 700+ na nikapita sasa sijui kipi unadhani naogopa
Umesoma tangazo ukalielewa??Naomba niulize swali je kama una mkataba na serikali ukiomba hizi ajira azitaleta shida?
Nieleweshe.Umesoma tangazo ukalielewa??
Barua umesaini?Ahsante sana wakuu
#Mbaga Jr
#Mwifwa
#The Lost
#Leak
Kila kitu Kiko sawa mkuu.Barua umesaini?
Vyeti vya elimu na kuzaliwa vina mhuri wa mwanasheria?
Umeweka CV?
Umejihakikishia wamepokea barua yako kwenye my application?
Referres wapo watatu kwenye CV na kwenye akaunti?
Ameupload pichaBarua umesaini?
Vyeti vya elimu na kuzaliwa vina mhuri wa mwanasheria?
Umeweka CV?
Umejihakikishia wamepokea barua yako kwenye my application?
Referres wapo watatu kwenye CV na kwenye akaunti?
Kabisa chief .Ameupload picha
Leseni yake iko hai.
Ukiweka referees zaid ya watatu je ni tatzo?Barua umesaini?
Vyeti vya elimu na kuzaliwa vina mhuri wa mwanasheria?
Umeweka CV?
Umejihakikishia wamepokea barua yako kwenye my application?
Referres wapo watatu kwenye CV na kwenye akaunti?