TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Kaka samahani naomba kuuliza hivi kwa mtu ambae ana certificate ya clinical madicine pale kweny machaguo ya ya certificate,basic techician certificate,technician certificate hua anatakiw achague ipi kati ya hzo?
 
Tunamsaidiaje.

Mtu aliyesahau email aliyetumia kufungulia acc ya ajira portal urgently?
Awaandikie barua kwamba anataka badili e-mail from hii to hii, then awatumie kwenye email yao (aweke majina yake matatu na namba ya Nida aambatanishe)
 
Aisee kuwa makini kuna siku utakamatwa kirahisi sana, yaani umefundisha watu uharamia halafu unakubali kutoa namba yako mtu anakurushia 20k?
Ukienda mahakamani unatoa 10k Wana certify vyeti vyote.
 
Hakuna kutuma Kwa njia ya posta wanakukumbusha barua utakayo tuma hakikisha umeisaini, kuhusu vyeti uwe umeviatachi sehemu husika , maombi yote ni online hakuna kutuma Kwa njia posta nadhani ata kwenye tangazo wamesisitiza!
 
Awaandikie barua kwamba anataka badili e-mail from hii to hii, then awatumie kwenye email yao (aweke majina yake matatu na namba ya Nida aambatanishe)
Sasa atabadili vp email from hii to hii wakati hy email ya kwanza haikumbuki?
 
Recommendation letter ni barua ya namna Gani hii ?

Au ni barua mahususi kutoka kwa mwajiri kwa wale wenye mikataba ya muda mfupi mfano Benjamin Mkapa?
 
Recommendation letter ni barua ya namna Gani hii ?

Au ni barua mahususi kutoka kwa mwajiri kwa wale wenye mikataba ya muda mfupi mfano Benjamin Mkapa?
N barua ya kuthibitisha kuwa ww unaiweza hy kazi iliyotangazwa, mara nyingi hua inaandikwa na watu wenye position kubwa kwahy ndio inaweza ikawa n kutoka kwa mwajiri wako, maprofesa, wakuu wa mikoa, wilaya nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…