Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
- Thread starter
- #481
Kwann uweke zaidi ya watatu wakati umeambiwa watatuUkiweka referees zaid ya watatu je ni tatzo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann uweke zaidi ya watatu wakati umeambiwa watatuUkiweka referees zaid ya watatu je ni tatzo?
Mwambie awapigie utumishi watamsaidiaTunamsaidiaje.
Mtu aliyesahau email aliyetumia kufungulia acc ya ajira portal urgently?
Kaka samahani naomba kuuliza hivi kwa mtu ambae ana certificate ya clinical madicine pale kweny machaguo ya ya certificate,basic techician certificate,technician certificate hua anatakiw achague ipi kati ya hzo?Bonyeza kitufe cha plus (+)
Jaza kama inavyoonekana hapa kwenye picha kulingana na Baraza lako la kitaaluma.
Kwenye Year From to andika mwaka uliposajiliwa na Baraza hadi mwaka huu(angalia mfano nilivyojaza hapo).
Mwngine yanajieleza, then utaattach hiyo leseni hai na kusaveView attachment 3042687
Basics tech certificate.Kaka samahani naomba kuuliza hivi kwa mtu ambae ana certificate ya clinical madicine pale kweny machaguo ya ya certificate,basic techician certificate,technician certificate hua anatakiw achague ipi kati ya hzo?
🤔🤔🤔🤔Kwann uweke zaidi ya watatu wakati umeambiwa watatu
Kila laheri chiefKila kitu Kiko sawa mkuu.
Awaandikie barua kwamba anataka badili e-mail from hii to hii, then awatumie kwenye email yao (aweke majina yake matatu na namba ya Nida aambatanishe)Tunamsaidiaje.
Mtu aliyesahau email aliyetumia kufungulia acc ya ajira portal urgently?
Aisee kuwa makini kuna siku utakamatwa kirahisi sana, yaani umefundisha watu uharamia halafu unakubali kutoa namba yako mtu anakurushia 20k?Hapana bro usichoke kusaidia.
Ila mm nawashauri vijana wenzangu waweke Address ambayo ndipo watakapofanyia usaili mana hakutakuwa na kurudi tena kuangalia mtahiniwa yuko wap ili kutoa majina kwa mara ya pili.
Bro, hv hutojisikia raha kama mtu humu akileta feedback ya kukushukuru kwa kumsaidia kufanya Application yake vyema? Kama hilo jambo litakufurahisha bc usichoke kuwasaidia vijana wnzko.
Muhimu ila sio lazima 😂 Mwifwa unakumbuka kuna comment yangu humu kwenye huu uzi nimefundisha watu khs apps za kutumia ili kufanikisha kuomba ajira bila wao kuingia gharama yoyote ht ya kupata mhuri wa mwanasheria?
Sasa kuna mtu akanifata pm na kunitumia 20k kutokana na ile comment yangu mana aliona n bora anipe hy pesa kuliko kupeleka kwa mwanasheria.
Hvy bro tusichoke kusaidiana
SawaAisee kuwa makini kuna siku utakamatwa kirahisi sana, yaani umefundisha watu uharamia halafu unakubali kutoa namba yako mtu anakurushia 20k?
Ukienda mahakamani unatoa 10k Wana certify vyeti vyote.
Hakuna kutuma Kwa njia ya posta wanakukumbusha barua utakayo tuma hakikisha umeisaini, kuhusu vyeti uwe umeviatachi sehemu husika , maombi yote ni online hakuna kutuma Kwa njia posta nadhani ata kwenye tangazo wamesisitiza!Kwenye tangazo la ajira Kuna kipengele wanataka u sign barua ya maombi Kisha uiambatanishe na vyeti vya taaluma husika kupitia sanduku la posta walilotaja naomba ufafanuzi kidgo maana sijaelewa kwamba hivyo vyeti na barua vitumwe kwa njia ya posta badala ya online.
Sasa atabadili vp email from hii to hii wakati hy email ya kwanza haikumbuki?Awaandikie barua kwamba anataka badili e-mail from hii to hii, then awatumie kwenye email yao (aweke majina yake matatu na namba ya Nida aambatanishe)
Labla anajua itamuongezea nafasi ya kupata kazi 😂Kwann uweke zaidi ya watatu wakati umeambiwa watatu
Kwa iyo disquilified?🤔Labla anajua itamuongezea nafasi ya kupata kazi 😂
Sijui, ila kama umeambiwa uweke watatu kwann uweke wanne.Kwa iyo disquilified?🤔
Ndio hawa unakuta swali linasema chagua maswali ma3 kati ya ma5 yeye anaamua kujibu yote ili msahishashi akachugue mwenyewe ma3.Sijui, ila kama umeambiwa uweke watatu kwann uweke wanne.
Afute mmoja haraka sana kabla ya deadlineSijui, ila kama umeambiwa uweke watatu kwann uweke wanne.
N barua ya kuthibitisha kuwa ww unaiweza hy kazi iliyotangazwa, mara nyingi hua inaandikwa na watu wenye position kubwa kwahy ndio inaweza ikawa n kutoka kwa mwajiri wako, maprofesa, wakuu wa mikoa, wilaya nkRecommendation letter ni barua ya namna Gani hii ?
Au ni barua mahususi kutoka kwa mwajiri kwa wale wenye mikataba ya muda mfupi mfano Benjamin Mkapa?
Ahsante chief kwahiyo ni option kuiweka sio lazima.N barua ya kuthibitisha kuwa ww unaiweza hy kazi iliyotangazwa, mara nyingi hua inaandikwa na watu wenye position kubwa kwahy ndio inaweza ikawa n kutoka kwa mwajiri wako, maprofesa, wakuu wa mikoa, wilaya nk