TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Con
Kama hakutakuwa na usaili wa afya na waalimu aisee roho itaniuma sana 😭
Interview lazima aisee
 
Wakuu leo wakati napitia cv preview kwenye mfumo wangu wa ajira portal nakuja kushtukia place of birth inasoma 0

Hivi hii sababu ya mimi kutokuwa qualified kwa interview hapa naogopa vibaya mno

Msaada wenu wa kimawazoView attachment 3047686
Hata Mimi inasoma hivyo tokea muda lakini kwenye personal details inaonesha sehemu nilipozaliwa.Kwahiyo Haina shida mkuu.

Nakumbuka hata kwenye Ajira za polisi ilinisomew hivyo hivyo.
 
Asante kunitia moyi
 
Kwa walimu na watu wa Afya.

Hakutakua na Interview.

Watu wa Afya kuanzia tarehe 1/8 -6/8 mtakua mnaanza kufikia Vituo vyenu vya kazi.

Hata hivo, Kipaumbele ni Kwa wale walikua wanajitolea.
Yaani utumishi watangaze nafasi halafu interview isiwepo? Watatumia vigezo gani kupata watu? Ninavyojua interview itakuwepo tena kali sana.
 
Dakika za jioni mkuu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…