TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Tena hawa waalimu ndio wana balaa, mana watakuwa na Interview tatu
1: written 2: practical 3: oral 😂

Kama nawaona vile utumishi walivyojipanga kwa mauaji 😂 mana kuchinja watu zaidi ya laki mbili ili wapatikane watu 11,000 sio kazi nyepesi 😂

Palina asione hii mana atafurahi knoma 😂
Con
Kama hakutakuwa na usaili wa afya na waalimu aisee roho itaniuma sana 😭
Interview lazima aisee
 
Wakuu leo wakati napitia cv preview kwenye mfumo wangu wa ajira portal nakuja kushtukia place of birth inasoma 0

Hivi hii sababu ya mimi kutokuwa qualified kwa interview hapa naogopa vibaya mno

Msaada wenu wa kimawazo
Screenshot_20240721-091453.png
 
Wakuu leo wakati napitia cv preview kwenye mfumo wangu wa ajira portal nakuja kushtukia place of birth inasoma 0

Hivi hii sababu ya mimi kutokuwa qualified kwa interview hapa naogopa vibaya mno

Msaada wenu wa kimawazoView attachment 3047686
Hata Mimi inasoma hivyo tokea muda lakini kwenye personal details inaonesha sehemu nilipozaliwa.Kwahiyo Haina shida mkuu.

Nakumbuka hata kwenye Ajira za polisi ilinisomew hivyo hivyo.
 
Asante kunitia moyi
 
Kwa walimu na watu wa Afya.

Hakutakua na Interview.

Watu wa Afya kuanzia tarehe 1/8 -6/8 mtakua mnaanza kufikia Vituo vyenu vya kazi.

Hata hivo, Kipaumbele ni Kwa wale walikua wanajitolea.
Yaani utumishi watangaze nafasi halafu interview isiwepo? Watatumia vigezo gani kupata watu? Ninavyojua interview itakuwepo tena kali sana.
 
Wakuu hivi hawa ajira portal huwa wanaongeza muda wa kutuma maombi kama polisi portal

Dakika za jioni sana nimekuja kushtuka kumbe kwenye sehemu ya other attachment mimi niliweka CV tu bila cheti cha kuzaliwa.

Nimetoka kukipakia muda huu

Je wakuu watanizingatia maana mwisho tuliambiwa ni leo tarehe 20

Au safari yangu ya kulamba asali ndio imeishia hapa.

NB: Wakuu tupitie tena application zetu unaweza hisi umemaliza kila kitu kumbe kuna vitu bado hujaviweka sawa, Nimeshtuka dakika za jioni

Au waweza endelea kuedit attachment hata siku zijazo???

Msaada kwa wahenga wa ajira portal
Dakika za jioni mkuu 😂
 
Back
Top Bottom