Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ConTena hawa waalimu ndio wana balaa, mana watakuwa na Interview tatu
1: written 2: practical 3: oral 😂
Kama nawaona vile utumishi walivyojipanga kwa mauaji 😂 mana kuchinja watu zaidi ya laki mbili ili wapatikane watu 11,000 sio kazi nyepesi 😂
Palina asione hii mana atafurahi knoma 😂
Interview lazima aiseeKama hakutakuwa na usaili wa afya na waalimu aisee roho itaniuma sana ðŸ˜
Pole.Kama hakutakuwa na usaili wa afya na waalimu aisee roho itaniuma sana [emoji24]
Hata Mimi inasoma hivyo tokea muda lakini kwenye personal details inaonesha sehemu nilipozaliwa.Kwahiyo Haina shida mkuu.Wakuu leo wakati napitia cv preview kwenye mfumo wangu wa ajira portal nakuja kushtukia place of birth inasoma 0
Hivi hii sababu ya mimi kutokuwa qualified kwa interview hapa naogopa vibaya mno
Msaada wenu wa kimawazoView attachment 3047686
Hata Mimi inasoma hivyo tokea muda lakini kwenye personal details inaonesha sehemu nilipozaliwa.Kwahiyo Haina shida mkuu.
Nakumbuka hata kwenye Ajira za polisi ilinisomew hivyo hivyo.
Asante kunitia moyiHata Mimi inasoma hivyo tokea muda lakini kwenye personal details inaonesha sehemu nilipozaliwa.Kwahiyo Haina shida mkuu.
Nakumbuka hata kwenye Ajira za polisi ilinisomew hivyo hivyo.
Yaani utumishi watangaze nafasi halafu interview isiwepo? Watatumia vigezo gani kupata watu? Ninavyojua interview itakuwepo tena kali sana.Kwa walimu na watu wa Afya.
Hakutakua na Interview.
Watu wa Afya kuanzia tarehe 1/8 -6/8 mtakua mnaanza kufikia Vituo vyenu vya kazi.
Hata hivo, Kipaumbele ni Kwa wale walikua wanajitolea.
Dalili za uchawi myKama hakutakuwa na usaili wa afya na waalimu aisee roho itaniuma sana ðŸ˜
Lazima ukandwe mkuu 😂Dalili za uchawi my
We shall see"in Nigerian voice 🤣Lazima ukandwe mkuu 😂
Mimi nmekuambia, hamna Intavyuu.Yaani utumishi watangaze nafasi halafu interview isiwepo? Watatumia vigezo gani kupata watu? Ninavyojua interview itakuwepo tena kali sana.
Mkuu unasisitiza Kwa kujiamini Kuwa interview haipo source of information labda unayo mkuu endelea kututia moyo tusiotamani interviewMimi nmekuambia, hamna Intavyuu.
Dakika za jioni mkuu 😂Wakuu hivi hawa ajira portal huwa wanaongeza muda wa kutuma maombi kama polisi portal
Dakika za jioni sana nimekuja kushtuka kumbe kwenye sehemu ya other attachment mimi niliweka CV tu bila cheti cha kuzaliwa.
Nimetoka kukipakia muda huu
Je wakuu watanizingatia maana mwisho tuliambiwa ni leo tarehe 20
Au safari yangu ya kulamba asali ndio imeishia hapa.
NB: Wakuu tupitie tena application zetu unaweza hisi umemaliza kila kitu kumbe kuna vitu bado hujaviweka sawa, Nimeshtuka dakika za jioni
Au waweza endelea kuedit attachment hata siku zijazo???
Msaada kwa wahenga wa ajira portal
UDSM school of Medicine pale Mbeya wanatoa pia shahada.Shahada nafikiri ni MUHAS tu.
Jidanganye ingekuwa hivyo wala wasinge hangaika kuwapeleka ajira portal😂😂😂Kuna mtu wa utumishi kaniambia hizi Ajira hazina usaili.
Nimemaliza
Hahahahaha ni mwendo wa kukandwa hahabha😂😂😂😂Walimu nao hao wameingia kwenye mfumo
Dakika za jioni mkuu 😂
Mkuu kwa hiyo kwa sisi ambao hatujajitolea sehemu na tumetuma maombi huko ajira portalMimi nmekuambia, hamna Intavyuu.