Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Habari wakuu, nina swali hivi kwa wataalamu wa afya au wataalamu wengine wenye vyeti na leseni kutoka boards husika, je kinachotakiwa kugongwa muhuri ni cheti tu cha board husika au pamoja na leseni hai inagongwa muhuri??majibu tafadhariKwa hiyo ndugu zangu, kutakua na mbungi kidogo.
View attachment 3049940
Habari wakuu, nina swali hivi kwa wataalamu wa afya au wataalamu wengine wenye vyeti na leseni kutoka boards husika, je kinachotakiwa kugongwa muhuri ni cheti tu cha board husika au pamoja na leseni hai inagongwa muhuri??majibu tafadhari
Utapiga muhuri Kila mwaka kwenye leseni?Vyote
Basi wengine kimetulamba😫😫Vyote
Aisee kama ni hivi mmhhhUtapiga muhuri Kila mwaka kwenye leseni?
NdioUtapiga muhuri Kila mwaka kwenye leseni?
😔😔Ndio
Vyeti tuHabari wakuu, nina swali hivi kwa wataalamu wa afya au wataalamu wengine wenye vyeti na leseni kutoka boards husika, je kinachotakiwa kugongwa muhuri ni cheti tu cha board husika au pamoja na leseni hai inagongwa muhuri??majibu tafadhari
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri, limeisha hilo🙏🙏Vyeti tu
1 Form4
2 Form6
3 Vyeti vya chuo
4 Vyeti vya intern
5 Cheti Cha MCT/Bodi ya Pharmacy/
Bodi ya Manesi
6 Transcript
7 Vingine sio lazima
Na cheti cha kuzaliwa hapo muhimuAsante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri, limeisha hilo🙏🙏
Ongezea cha kuzaliwaVyeti tu
1 Form4
2 Form6
3 Vyeti vya chuo
4 Vyeti vya intern
5 Cheti Cha MCT/Bodi ya Pharmacy/
Bodi ya Manesi
6 Transcript
7 Vingine sio lazima
Leseni ndogo kivipi mkuu?Ongezea cha kuzaliwa
Leseni ndogo ile
Kada ganiLeseni ndogo kivipi mkuu?
PharmacyKada gani
SODOMA TENA🤔Vip wa kuu hizi anuani ni sahihi au huruma itapita
Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA
OR
Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
Vip wa kuu hizi anuani ni sahihi au huruma itapita
Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA
OR
Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
IPO safi vyovyote vile utakavoandika Kati ya Hivyo Haina shida.Vip wa kuu hizi anuani ni sahihi au huruma itapita
Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA
OR
Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
Ww jamaa utakuwa na matatizo mahali mana haiwezekani jambo moja wiki nzima unaulizia tuu, deadline c bado unashindwa nn kubadilisha kama umeona umekosea?Vip wa kuu hizi anuani ni sahihi au huruma itapita
Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA
OR
Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.