Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Habari wakuu, nina swali hivi kwa wataalamu wa afya au wataalamu wengine wenye vyeti na leseni kutoka boards husika, je kinachotakiwa kugongwa muhuri ni cheti tu cha board husika au pamoja na leseni hai inagongwa muhuri??majibu tafadhariKwa hiyo ndugu zangu, kutakua na mbungi kidogo.
View attachment 3049940