TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Habari wakuu, nina swali hivi kwa wataalamu wa afya au wataalamu wengine wenye vyeti na leseni kutoka boards husika, je kinachotakiwa kugongwa muhuri ni cheti tu cha board husika au pamoja na leseni hai inagongwa muhuri??majibu tafadhari

Vyote
 
Vyeti tu

1 Form4
2 Form6
3 Vyeti vya chuo
4 Vyeti vya intern
5 Cheti Cha MCT/Bodi ya Pharmacy/
Bodi ya Manesi
6 Transcript
7 Cheti Cha Kuzaliwa
8 Vingine sio lazima
 
Vip wa kuu hizi anuani ni sahihi au huruma itapita
Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,

S.L.P 2330,
SODOMA
OR

Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
 
1000122681.jpg
 
IPO safi vyovyote vile utakavoandika Kati ya Hivyo Haina shida.
 
Vip wa kuu hizi anuani ni sahihi au huruma itapita
Katibu,
ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,

S.L.P 2330,
SODOMA
OR

Katibu,Ofisi ya Raisi sekretarieti ya ajira katikati utumishi wauma,
S.L.P 2330,
SODOMA.
Ww jamaa utakuwa na matatizo mahali mana haiwezekani jambo moja wiki nzima unaulizia tuu, deadline c bado unashindwa nn kubadilisha kama umeona umekosea?
 
Back
Top Bottom