TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hivi wewe ulisomea nini? Mbona unaogopa sana interview?
Tambua Nina oral mbili utumishi.

Siku ukijua mshahara wa tamisemi utaekewa hawana hata haja ya kufanyisha watu interview
 
Mliokuwa mnabisha kuhusiana na usaili nadhani leo Raisi amelitoa jibu na amewapa maagizo sekretarieti ya ajira muelewe tunachongee tunamaanisha na kuwaambia Hamna usaili.
 
.
Screenshot_20240731-172316.jpg
 
Sisj Afya sio kwamba tunaogopa usaili labda nijizungumzie mimi binafsi

Nimeshafanya saili tatu za utumishi mwaka juzi na mbili mwaka jana nashukuru Mungu nikafika hadi usaili wa mahojiano japo sijabahatika kuajiriwa.

Mara nyingi ukiangalia Hospital kubwa kama MUHIMBILI, BUGANDO,JKCI,MOI hizi ndizo zilikuwa zinafanyosha usaili lakini mtu unajua tunapambana unaenda kukutana na vitu vifuatavyo.

1.Mshahara mzuri tofauti na tamisemi.
2.marurupu ya kutosha.

Sasa leo Tamisemi wakiamua kuajiri kwa usaili watakuwa wanawaonea sana watu Maana sehemu zao za kazi.

Serikali inahuhitaji mkubwa sana wa watumishi wa afya tena kwa uharaka
Mshahara mdogo.
Hakuna marurupu.
Wanakijiji na wanasiasa kuchongeana.
Utaratibu awali ulikuwepo wa kuajiri kwa kuzingatia mwaka na muda wa mwajiri aliomaliza chuo.

So Tuwe wapole.

Sio kwamba Tunaogopa usaili.

Ila asilimia 80% ya watu wa afya hawaipendi tamisemi tuwaambie ukweli tu Tunaenda kwa kuwa kama last option.
 
Hichi pia ndio kilifanya watu wengi wakasomea Ualimu kwanza mkopo 100%
Uhakika wa kazi bila usumbufu

Tamisemi wakiweka usahili watu wengi hawatokuwa interested nao
Pia wasoma ualimu watapungua saana
 
😀😀 watapungua kisa usahili,kwa hiyo walimu wanaogopa usahili?
 
Back
Top Bottom