TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Mimi nisome kwani nimeomba hizo nafasii
Ndugu mwalimu soma sana acha masihala,hakuna sandakalawe psrs,na usizuge kama hujaomba,wakati nafasi umeziomba maana ni muda sana umeanza kupotosha watu kwamba interview hakuna
Interview ipo mm nime comfirm lazima mkandwe ndo maana mchakato umekuja psrs ili tupate walimu wenye content,sio zoa zoa ile ya TAMISEMI,ilikuwa inabeba makapi inaacha walimu wenye content,wakisingizia bahati ,kumbe kujuana kulitangulizwa😂😂
Sasa hvi hayo malalamiko ya upendeleo hayatakuwepo maana ukikandwa unaona alama zako😀 mfano una 20 mwenzako ana 78 lazima ufunge mdomo
psrs kama umefeli ata kama umemaliza zamani hakupi guarantee,unaachwa anayepata ni yule aliye perform vzr usaili
 
Um

Umepiga kwenye mshono
 
Education wengi walikuwa wanaenda sababu ya uhakika wa ajira japo mshahara duni
Education ni kozi ya wanyonge (Angalia kuanzia vyuoni kwao mpaka maisha ya walimu wengi wametokea familia duni)

Kama education ambapo kuna maslahi duni Na usahili si bora mtu asome Tax management sasa ili akipata kapata
Wengi familia duni sasa huwa najiuliza hizi connection huwa wanazitoa wapi na education wengi ni mburura
 
Ndugu mwalimu soma sana acha masihala,hakuna sandakalawe psrs,na usizuge kama hujaomba,wakati nafasi umeziomba maana ni muda sana umeanza kupotosha watu kwamba interview hakuna
Interview ipo mm nime comfirm lazima mkandwe ndo maana mchakato umekuja psrs ili tupate walimu wenye content,sio zoa zoa ile ya TAMISEMI,ilikuwa inabeba makapi inaacha walimu wenye content,wakisingizia bahati ,kumbe kujuana kulitangulizwa😂😂
Sasa hvi hayo malalamiko ya upendeleo hayatakuwepo maana ukikandwa unaona alama zako😀 mfano una 20 mwenzako ana 78 lazima ufunge mdomo
psrs kama umefeli ata kama umemaliza zamani hakupi guarantee,unaachwa anayepata ni yule aliye perform vzr usaili
Waalimu wapya wasimkamate mwanao lazima uyaite maji mma mana unawachoma sana 😂
 
Inasemekana usaili upo,ila wata decentralise,inawza ikawa kikanda.
 
Halllaaaaa

usaili upo na unaambiwa litapigwa panga la kufa mtu

kama polisi pale dodoma wamepiga panga na kupata watu 300 kati ya watu 30000 utumishi wameplan kuuma meno usahili ni mandatory hallaaaa
 
Ndugu mwalimu soma sana acha masihala,hakuna sandakalawe psrs,na usizuge kama hujaomba,wakati nafasi umeziomba maana ni muda sana umeanza kupotosha watu kwamba interview hakuna
Interview ipo mm nime comfirm lazima mkandwe ndo maana mchakato umekuja psrs ili tupate walimu wenye content,sio zoa zoa ile ya TAMISEMI,ilikuwa inabeba makapi inaacha walimu wenye content,wakisingizia bahati ,kumbe kujuana kulitangulizwa😂😂
Sasa hvi hayo malalamiko ya upendeleo hayatakuwepo maana ukikandwa unaona alama zako😀 mfano una 20 mwenzako ana 78 lazima ufunge mdomo
psrs kama umefeli ata kama umemaliza zamani hakupi guarantee,unaachwa anayepata ni yule aliye perform vzr usaili
Umesahau : system ndio inasahihisha sio watu kwa hiyo wajiandae kweli..kupata single digit nje nje 0-9
 
Back
Top Bottom