TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Mwaka jana Kuna ajira utumishi ziliotangazwa mwez wa 11 tukaja kuitwa interview mwaka huu mwez wa 5 so na hizi ukute mwakani
Hizi haziwezi kuchelewa ndugu,soon watu wanaitwa kukaguliwa vyeti OG
 
Wewe uliyesoma umeelewa nini, vingine sio lazima kuelewa wacha likae ivo ivo
Kwendra hizi ajira wasemaji mmekuwa wengi mtafikiri nyie ndo makatibu wa utumishi.

Kuwe na usaili usiwepo yote Heri.

Lakini wasemaji mpungue kama uko jikoni mwaga mboga sio makelele
 
Kwendra hizi ajira wasemaji mmekuwa wengi mtafikiri nyie ndo makatibu wa utumishi.

Kuwe na usaili usiwepo yote Heri.

Lakini wasemaji mpungue kama uko jikoni mwaga mboga sio makelele
Tulia apo ulipo ili uje utoe ushuhuda humu ,acha kelele zisizo za maana, kitu usichoelewa kausha soma na pita kushoto
 
TAHADHALI.

kuna watu wangu wa Karibu mmoja alikuwa anajitolea hospital moja kigoma na demu mwingine moro last week kuna mmoja wa kigoma kapigiwa simu na katibu wa afya wilaya arudi kazini jamaa kamkazia kwamba kaacha kazi katibu kamsitiza sana kuripoti kazini kuna kitu serikali wanataka kufanya.

Huyu dada nae hivyohivyo amesisitizwa aendeelee kujitolea Asiache.

Mwingine wa Mbeya alikuwa anajitolea hospital ya mkoa wote walipewa barua ya kujitolea na wakadisitizwa kuweka kwenye sehemu ya recommende.

Imekaaje hii wakuu
 
Kwahiyo mtu kamaliza chuo mwaka 2020 aendelee kujitolea bila malipo wakati Kuna private akifanya analipwa angalau 250k akae gvt hospital wkt umri unaenda anatakiwa kijana ajikimu Kwa kujitafutia
 
Vigezo vyao vya kujitolea mara sijui wa mkapa foundation wapewe kipaumbele wkt kupata tu nafasi kwenye hayo mashirika ni Kwa kujuana na connection na baadhi ya hospital za mikoa kujitolea eti hadi uwalipe elf 50 ya mafunzo
 
Kwa muda huu wa hizi ajira n bora arudi kujitolea tuu mana huwezi kujua labla wataanza na hao ambao wanaojitolea
 
Wanawatapeli tu
 
Wakuu, ikiwa unataka kuapply kazi mbili tofauti, ukisha apply kazi ya kwanza kwenye kipengele cha CV, ile CV unadelete au unaedit ? Ili uweke CV ya kazi ya pili.

Mwifwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…