Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naogopa sana hasa oralNa wewe unaogopa interview?
52days bado jiandaeNaogopa sana hasa oral
Hadi mwaka unaisha sasa52days bado jiandae
Toka siku ya tangazo la kaziHadi mwaka unaisha sasa
Mwaka jana Kuna ajira utumishi ziliotangazwa mwez wa 11 tukaja kuitwa interview mwaka huu mwez wa 5 so na hizi ukute mwakaniToka siku ya tangazo la kazi
Hizi haziwezi kuchelewa ndugu,soon watu wanaitwa kukaguliwa vyeti OGMwaka jana Kuna ajira utumishi ziliotangazwa mwez wa 11 tukaja kuitwa interview mwaka huu mwez wa 5 so na hizi ukute mwakani
Htr sana Mungu atukumbukeHizi haziwezi kuchelewa ndugu,soon watu wanaitwa kukaguliwa vyeti OG
Umeelewa unachokiandika.Hizi haziwezi kuchelewa ndugu,soon watu wanaitwa kukaguliwa vyeti OG
Wewe uliyesoma umeelewa nini, vingine sio lazima kuelewa wacha likae ivo ivoUmeelewa unachokiandika.
Kugagua Cheti Original how?
Kwendra hizi ajira wasemaji mmekuwa wengi mtafikiri nyie ndo makatibu wa utumishi.Wewe uliyesoma umeelewa nini, vingine sio lazima kuelewa wacha likae ivo ivo
Tulia apo ulipo ili uje utoe ushuhuda humu ,acha kelele zisizo za maana, kitu usichoelewa kausha soma na pita kushotoKwendra hizi ajira wasemaji mmekuwa wengi mtafikiri nyie ndo makatibu wa utumishi.
Kuwe na usaili usiwepo yote Heri.
Lakini wasemaji mpungue kama uko jikoni mwaga mboga sio makelele
Kwenda wewe nani mchuna chumvi wa Masai achana na mmTulia apo ulipo ili uje utoe ushuhuda humu ,acha kelele zisizo za maana, kitu usichoelewa kausha soma na pita kushoto
Kwahiyo mtu kamaliza chuo mwaka 2020 aendelee kujitolea bila malipo wakati Kuna private akifanya analipwa angalau 250k akae gvt hospital wkt umri unaenda anatakiwa kijana ajikimu Kwa kujitafutiaTAHADHALI.
kuna watu wangu wa Karibu mmoja alikuwa anajitolea hospital moja kigoma na demu mwingine moro last week kuna mmoja wa kigoma kapigiwa simu na katibu wa afya wilaya arudi kazini jamaa kamkazia kwamba kaacha kazi katibu kamsitiza sana kuripoti kazini kuna kitu serikali wanataka kufanya.
Huyu dada nae hivyohivyo amesisitizwa aendeelee kujitolea Asiache.
Mwingine wa Mbeya alikuwa anajitolea hospital ya mkoa wote walipewa barua ya kujitolea na wakadisitizwa kuweka kwenye sehemu ya recommende.
Imekaaje hii wakuu
Vigezo vyao vya kujitolea mara sijui wa mkapa foundation wapewe kipaumbele wkt kupata tu nafasi kwenye hayo mashirika ni Kwa kujuana na connection na baadhi ya hospital za mikoa kujitolea eti hadi uwalipe elf 50 ya mafunzoTAHADHALI.
kuna watu wangu wa Karibu mmoja alikuwa anajitolea hospital moja kigoma na demu mwingine moro last week kuna mmoja wa kigoma kapigiwa simu na katibu wa afya wilaya arudi kazini jamaa kamkazia kwamba kaacha kazi katibu kamsitiza sana kuripoti kazini kuna kitu serikali wanataka kufanya.
Huyu dada nae hivyohivyo amesisitizwa aendeelee kujitolea Asiache.
Mwingine wa Mbeya alikuwa anajitolea hospital ya mkoa wote walipewa barua ya kujitolea na wakadisitizwa kuweka kwenye sehemu ya recommende.
Imekaaje hii wakuu
Kwa muda huu wa hizi ajira n bora arudi kujitolea tuu mana huwezi kujua labla wataanza na hao ambao wanaojitoleaTAHADHALI.
kuna watu wangu wa Karibu mmoja alikuwa anajitolea hospital moja kigoma na demu mwingine moro last week kuna mmoja wa kigoma kapigiwa simu na katibu wa afya wilaya arudi kazini jamaa kamkazia kwamba kaacha kazi katibu kamsitiza sana kuripoti kazini kuna kitu serikali wanataka kufanya.
Huyu dada nae hivyohivyo amesisitizwa aendeelee kujitolea Asiache.
Mwingine wa Mbeya alikuwa anajitolea hospital ya mkoa wote walipewa barua ya kujitolea na wakadisitizwa kuweka kwenye sehemu ya recommende.
Imekaaje hii wakuu
Wanawatapeli tuTAHADHALI.