Haina hajaa acha kuthibitishwa kwa mwanasheria uonee kama hiyo interview hutoisikilizia kwenye bombaa tuuSio lazima kwenda kwa mwanasheria.. vyeti vyenyewe vimethibitishishwa hakuna haja ya mwanasheria
Halafu kinachothibitishwa sio chetii ila ni Copy unayoattach kwenye portal ili kuthibitisha kuwa hiyo copy imetoka kwenye chetii originalSio lazima kwenda kwa mwanasheria.. vyeti vyenyewe vimethibitishishwa hakuna haja ya mwanasheria
Sina haja ya ajira, mimi ni mtumishiHaina hajaa acha kuthibitishwa kwa mwanasheria uonee kama hiyo interview hutoisikilizia kwenye bombaa tuu
Miongozo ya ajira haijaweka kigezo hicho cha mwanasheria.Haina hajaa acha kuthibitishwa kwa mwanasheria uonee kama hiyo interview hutoisikilizia kwenye bombaa tuu
Sasa unabisha nini mkuu ulishawahii kuomba ajira kupitia PSRS wewe??Miongozo ya ajira haijaweka kigezo hicho cha mwanasheria.
Ww jamaa ww 😂Miongozo ya ajira haijaweka kigezo hicho cha mwanasheria.
Sasa kama ww ni mtumishi mbona unakaza kichwa na unataka kuwapotosha wenginee kwamba haina hajaaSina haja ya ajira, mimi ni mtumishi
Mkuu hivi cheti kinachopaswa kuwa na muhuri wa mwanasheria ni cha kuzaliwa pekee au vyote mkuuHivi ndivyo watanzania tunavyotafutiana ulaji. Wakili/mwanasheria anaenda kupiga pesa mno. Kama huna elfu 5000/10000 katika Kila cheti, aise mtanzania mwenzangu jobless huombi hizi nafasi za kazi. Hivi hiki kipengele Cha kuwatafutia ulaji mwakili na wanasheria wetu hakiwezi kuondolewa?
Vyote mkuuMkuu hivi cheti kinachopaswa kuwa na muhuri wa mwanasheria ni cha kuzaliwa pekee au vyote mkuu
Natanguliza shukrani
Kama ulishaweka ambavyo havina muhuri kuna option ya kubadilishaVyote mkuu
Ipo. Nenda kwenye account yako kipengele Cha academic qualifications utaenda kwenye level husika ya elimu hapo utaona kipengele Cha edit. Utaedit Kila kitu (utaandika upya details zile zile) baada ya hapo uta attach cheti unachoona kimekamilika Kila kitu. Hapo ukishasave tayari umemaliza Kila kitu.Kama ulishaweka ambavyo havina muhuri kuna option ya kubadilisha
Mnataka muingie utumishi wa umma vilaza?hujui kuna digree za chupi usijitoe ufahamu,ukiona mtu anaogopa usaili ujue ni kilaza.Ajira za afya zina interview?? 1.umefanya internship mwaka mzima 2. umefanya mthiani wa leseni alafu bado ufanyiwe interview???
Kila mtu ana muda wake mkuu...kutangazwa kwa ajira sio kupata, muda wako unakuja mkuu kuwa Na subira...halafu nikuambie kitu Hawa walio wengi ni wadogo zetu..mwaka jana mdogo wangu anaenifuata akiwa ni watano amepata ajira, Mimi huu ni mwaka wa nane Na sote tumesoma kada moja ya afya sioni sababu ya kuwa Na chuki naamini ipo siku wakati wetu bado mkuu,Hakuna connection 100% kama ukifaulu interview zote ujue kazi umepata. Ila kama kilaza utaendelea kulia lia kila siku.
NB: Mitihani ya utumishi sio rahisi hivyo jiandae vya kutosha. Usiseme hatujakwambia. 😀😀
Hizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimyaVip ajira za walimu bado?
Funguka unaongopa Nini sasaHizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimya
Hizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimy
Vijn wapo hoi san ktaaa wao walete hizo ajiraHizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimya
Kila taaluma ina umuhimu wake.Hivi ndivyo watanzania tunavyotafutiana ulaji. Wakili/mwanasheria anaenda kupiga pesa mno. Kama huna elfu 5000/10000 katika Kila cheti, aise mtanzania mwenzangu jobless huombi hizi nafasi za kazi. Hivi hiki kipengele Cha kuwatafutia ulaji mwakili na wanasheria wetu hakiwezi kuondolewa?
Hizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimya
Nichekii nikuelekezeeHata nimeshindwa kuelewa jinsi ya ku apply nisaidieni