TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hivi ndivyo watanzania tunavyotafutiana ulaji. Wakili/mwanasheria anaenda kupiga pesa mno. Kama huna elfu 5000/10000 katika Kila cheti, aise mtanzania mwenzangu jobless huombi hizi nafasi za kazi. Hivi hiki kipengele Cha kuwatafutia ulaji mwakili na wanasheria wetu hakiwezi kuondolewa?
Mkuu hivi cheti kinachopaswa kuwa na muhuri wa mwanasheria ni cha kuzaliwa pekee au vyote mkuu

Natanguliza shukrani
 
Kama ulishaweka ambavyo havina muhuri kuna option ya kubadilisha
Ipo. Nenda kwenye account yako kipengele Cha academic qualifications utaenda kwenye level husika ya elimu hapo utaona kipengele Cha edit. Utaedit Kila kitu (utaandika upya details zile zile) baada ya hapo uta attach cheti unachoona kimekamilika Kila kitu. Hapo ukishasave tayari umemaliza Kila kitu.
 
Hakuna connection 100% kama ukifaulu interview zote ujue kazi umepata. Ila kama kilaza utaendelea kulia lia kila siku.

NB: Mitihani ya utumishi sio rahisi hivyo jiandae vya kutosha. Usiseme hatujakwambia. 😀😀
Kila mtu ana muda wake mkuu...kutangazwa kwa ajira sio kupata, muda wako unakuja mkuu kuwa Na subira...halafu nikuambie kitu Hawa walio wengi ni wadogo zetu..mwaka jana mdogo wangu anaenifuata akiwa ni watano amepata ajira, Mimi huu ni mwaka wa nane Na sote tumesoma kada moja ya afya sioni sababu ya kuwa Na chuki naamini ipo siku wakati wetu bado mkuu,
 
Hizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimy

Hizi bado kuna mnyukano lkn kundi linalotaka walimu waajiriwe bila usahili lipo linafanya come back ya hatari hivyo basi soon zinamwagika Japo.......naomba nikae kimya
Vijn wapo hoi san ktaaa wao walete hizo ajira
 
Hivi ndivyo watanzania tunavyotafutiana ulaji. Wakili/mwanasheria anaenda kupiga pesa mno. Kama huna elfu 5000/10000 katika Kila cheti, aise mtanzania mwenzangu jobless huombi hizi nafasi za kazi. Hivi hiki kipengele Cha kuwatafutia ulaji mwakili na wanasheria wetu hakiwezi kuondolewa?
Kila taaluma ina umuhimu wake.

Hili la service charge halikwepeki.
 
Back
Top Bottom