Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Inapendeza sana
Afya ni mtaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapendeza sana
Acha kukariri, Engineer hawana Leseni? Vip CPA za wahasibu,vip kuhusu Wanasheria wanapita Law school? Hao wote wanafanya interview kwenye ajira zao..hata Ajira za afya kipind cha nyuma ili ufanye kazi Muhimbili,mtu alitakiwa afanye Interview.Ajira za afya zina interview?? 1.umefanya internship mwaka mzima 2. umefanya mthiani wa leseni alafu bado ufanyiwe interview???
Nafkiri hii ni nzuri kuondoa dhana ya kwamba hizi ajira ni za connection mtu washindanishweAjira za afya zina interview?? 1.umefanya internship mwaka mzima 2. umefanya mthiani wa leseni alafu bado ufanyiwe interview???
ZinakujaWaalimu vipi?
Zinakuja liniZinakuja
Kwahiyo unaamini huko utumishi hakuna mambo ya connection?Nafkiri hii ni nzuri kuondoa dhana ya kwamba hizi ajira ni za connection mtu washindanishwe
Ajira zenu zinakuja mkuu wala usijaliAjira portal haipangii watu nafasi za ajira bila interview mkuu..
Connection zipo kwenye kuhama sio kupata ajiraKwahiyo unaamini huko utumishi hakuna mambo ya connection?
Mimi nipo kwenye utumishi miaka kumi sasa mkuu,sihusiki kabisa na hizo ajira..Ajira zenu zinakuja mkuu wala usijali
.Address za kupokelea(receiver's address) ni zipi? Maana kila mkoa imetangaza ajira zake
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Itafute tu hiyo connection, ni wewe na juhudi zako.Kwahiyo unaamini huko utumishi hakuna mambo ya connection?
Ajira za afya zina interview?? 1.umefanya internship mwaka mzima 2. umefanya mthiani wa leseni alafu bado ufanyiwe interview??
Wanarudia kuitangaza Tena ndio utumishi walivyo,Kama wahitaji ni wengi kuliko nafasi, utaratibu gani utumike kuwapata hao wachache kulingana na nafasi??
Hujamuelewa mkuu...alikuwa anamjibu jamaa aliekuwa anahoji kuhusu interviewWanarudia kuitangaza Tena ndio utumishi walivyo,
Hakuna connection 100% kama ukifaulu interview zote ujue kazi umepata. Ila kama kilaza utaendelea kulia lia kila siku.Kwahiyo unaamini huko utumishi hakuna mambo ya connection?
Sio lazima kwenda kwa mwanasheria.. vyeti vyenyewe vimethibitishishwa hakuna haja ya mwanasheriaHivi ndivyo watanzania tunavyotafutiana ulaji. Wakili/mwanasheria anaenda kupiga pesa mno. Kama huna elfu 5000/10000 katika Kila cheti, aise mtanzania mwenzangu jobless huombi hizi nafasi za kazi. Hivi hiki kipengele Cha kuwatafutia ulaji mwakili na wanasheria wetu hakiwezi kuondolewa?
😂😂😂😂Habari.
Hatimaye Tamisemi wametoa ajira za afya kupitia sektreatarieti ya ajira na utumishi wa umma.
Kiuhalisia mambo yanaenda kuwa Magumu kadri miaka inavyoenda.
Itabidi watu wafanye Interview.
Karibuni kwa mjadala na kuwekeana sawa kwa tunaomba hizi ajira.
Zipo kada mbalimbali nazo ni.
1. TABIBU MSAIDIZI(CLINICAL ASSISTANT)-639
2. AFISA LISHE
3. MUUGUZI II -2282
4. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 1016
5. MFAMASIA DARAJA LA PILI (PHARMACIST)-128
6. TABIBU KINYWA NA MENO(DENTAL THERAPIST)-210
7. MSAIDIZI WA AFYA -1057
Jumla.
8. AFISA AFYA MAZINGIRA
DARAJA LA PILI(ENVIROMENTAL OFFICER II)-124
9. KATIBU WA AFYA-41
10. FIZIOTHERAPIA II -83
11. MTEKNOLOJIA MENO DARAJA LA II -3
12. AFISA PHYSIOTHERAPY II-11
13. AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI-301
14. AFISA MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA PILI-57
15. DAKTARI BIGWA WA MAGONJA YA NDANI -7
16. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI RADIOLOJIA -15
17. AFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA PILI -124
Karibuni kwa kujadili.
Kusaidiana jinsi ya kuomba.
Walimu mjiandae.