Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
- Thread starter
- #261
Sasa kuna kada hazina watu kabisa.Interview ipo ya kuandika(mchujo) na oral.
Hii ni nzuri sana utajua mwelekeo wako mapema, ukifika Oral unakuwa na probability kubwa ya kupata nafasi.
Usipopata nafasi hizi utawekwa akiba then utaweza kupangiwa sehemu nyingine nafasi zikipatikana. Unaweza kuja kushangaa wale waliobaki akiba wakalamba asali nono kwenye Taasisi kubwa kubwa.
Hivyo hakikisha unapambana ufike OralView attachment 3039308
Mfano EN(nurse certificate)
Karibia wengi waliajiriwa miaka ya hivi karibuni.
Halfu utaratibu wao wa tamisemi zamani ulikuwa unazingatia First in first Out.
Hauoni kama hii itapelekea waliomaloza hivi karibuni wengi kuwa kwenye utumishi wa umma ilhali walimuda mrefu wameshindwa kupata chance ya kufaulu usaili.