TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Unaacha kwenda oral ya MNH ambayo inakupa guarantee hata kama ukikosa still unakuw kwenye database ya kuchukuliwa taasisi zinazoeleweka...unaenda kupambana na madiwani tamisenga....braza
Haujaelewa ya muhimbili nimeshafanya oral nadhani nikonkwenye database.

Sikuenda interview ya MDA LGA
 
Ahaa hapa sawa. Ila kuna application umefanya ya tamisemi bila shaka ya tarehe 7/7 au nakosea, lakini all in all, all the best.

I have a friend alichaguliwa tamisemi ila baadae kuna mkeka ukatoka Jina lipo MNH....akapambana sana kutoka tamisemi at the end akafanikiwa akaingia kwa MNH...
 
Ya tar 7 si ndo hizo gombania goli.[emoji42]

Zenye makelele kama yote kamshahara sifuri
 
Ahaa hapa sawa. Ila kuna application umefanya ya tamisemi bila shaka ya tarehe 7/7 au nakosea, lakini all in all, all the best.

I have a friend alichaguliwa tamisemi ila baadae kuna mkeka ukatoka Jina lipo MNH....akapambana sana kutoka tamisemi at the end akafanikiwa akaingia kwa MNH...
Vipi hawakumzingua kwenye kuhama si alikuwa na check number?
 
Achana na mm ..

Yaani nyie ndo mtakuwa utumishi mmetengeneza mfumo ajira za mshahara mdogo zigombaniwe kwa interview.

Sasa ajira ya tamisemi tena ya masimango nayo ya kuita watu interview
Kama ina mshahara mdogo unapply ya nini kijana. Inaoneka ulipita elimu ya magumashi, huamini utaalamu au taaluma uliyonayo ndio maana unaogopa sana na uko against na interview.

Ukitaka Mali utaipata shambani Bob. Achana na hizi kazi za interview..ingia shamba Kalime hahahaha
 
Vipi hawakumzingua kwenye kuhama si alikuwa na check number?
Kumbuka ukiwa tamisemi Mkurugenzi ndio inabd akuruhusu na hapa ndio shughuli ilipokuwepo coz ya taaluma yake alikuw mmoja tu mkoani hapo ila alifanikiwa kwa mbinde. Cheque number inahamishwa tu.
 
Kama ina mshahara mdogo unapply ya nini kijana. Inaoneka ulipita elimu ya magumashi, huamini utaalamu au taaluma uliyonayo ndio maana unaogopa sana na uko against na interview.

Ukitaka Mali utaipata shambani Bob. Achana na hizi kazi za interview..ingia shamba Kalime hahahaha
Mimi target nipate check number kwanza mkuu.
 
Kumbuka ukiwa tamisemi Mkurugenzi ndio inabd akuruhusu na hapa ndio shughuli ilipokuwepo coz ya taaluma yake alikuw mmoja tu mkoani hapo ila alifanikiwa kwa mbinde. Cheque number inahamishwa tu.
Alitumia mbinu gani?
 
Ebu soma vizuri hapo kweny boksi jekundu unisaidie na mimi kuelewaView attachment 3042285
Mkuu naona ww Umeelewa tofauti na kusudio, anuani unaweka kabla ht hujafanya application mana ukisema ni baada ya majina kutoka kwahy watakuwa wanarudi mara ya pili tena kwenye akaunti yako kuangalia anuani yako wakati hy kazi inafanywa kabla ya kupangiwa usaili.
 
Labda tuseme hilo tangazo limeandikwa vibaya, linasema "kwa wale walioitwa kwenye usahili wa u update anwani zao ili wapangiwe vituo vya usahili vilivyo karibu nao"

Hapo wamezingatia kuwa, watu wanafanya movements za kila mara kwenye utafutaji ambapo anaweza kukutwa na muda wa usahili akiwa sehemu nyingine mbali na makazi yake.

Ebu tuchukulie wewe upo Dar kwa sasa ila wakati ukiendelea kusubiri call for Interview ukapata dharura ukaenda Mwanza, ukiwa Mwanza call for Interview zikatoka na inabidi ukafanyie usahili Dar. Sasa kwa kurahisisha wakasema "Wale walioitwa wabadili anwani zao ili waweze kufanya walipo kwa muda huo"

Hadi hapa unaonaje huu mtindo?
 
Yn ukiitwa kwenye interview maana yake tayar wameshamalizana na akaunti yako inayoonyesha Location yako. Sasa kama utahama location hapo n kuwasiliana nao physical na sio kwenda kwenye akaunti yako kuweka hy location mpya.
Mana ukiitwa interview maana ake hapo hapo Tyr unakuwa ushapangiwa sehemu pa kufanyia kulingana na Location uliyoweka wakat wa application sio baada ya majina ya usaili kutoka.
 
Watakachoangalia ni mkoa uliomba kazi over na sio address
 
Kwahy ww unadhani ukituma application inawafikia kuwa hii application imetoka mkoa fulani?
Mzee umeomba hizi ajira za afya au unaongea kwa experience.

Unajua mchana nimewaelekeza watu nimeona wajuaji wengi humu ndani kidogo @mwifa ndo amekuja na akili sana .

Ya kusema watu wa update taarifa mara baada ya kuitwa kwa usaili.
 
Ukiangalia ajira za kidigital zimeanza mwaka jana hata bado hazijafika nadhani hata target inayotakiwa.

Na ajira za afya wametoa watu 9000+ nchini nzima mwaka jana maombi jumla yalikuwa elfu 70.

Tuseme mwaka huu laki moja.

Nje na uzoefu watu mlionao.

Siwapingi kwamba watu watafanya interview ila kama mifumo ya watu wa tamisemi na wizara kuamua kuja kusimamia ajira humu kuna kitu utumishi wamekitarget tukae kwa kutulia.

Nadhani ndo zitakuwa ajira zenye watu wengi ukitoa zile za TRA.

So tupunguze ujuaji.

Hasa humu ndani.
 
Zitatoka zingine za wizara ya afya kigezo waliomba tamisemi hawataruhusiwa kuomba..
 
Back
Top Bottom