TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hapana.

Ni lini kaingia kwenye practice, yaani lini kasajiliwa, ndio maana cheti cha usajili huwa ni kimoja tu kama kilivyo cheti cha chuo

Kurenew leseni(sio cheti cha usajili) imewekwa kila mwaka ili kuregulate.

Sasa ukiweka 2024 - 2025, wakati kasajiliwa 2019 na kuruhusiwa kupractise ina maana miaka ya nyuma alikuwa hapractise? Sawa unaweza kuwa hupractise lakini leseni ikiwa hai ina maana hupractise
 
Hapana.

Ni lini kaingia kwenye practice, yaani lini kasajiliwa, ndio maana cheti cha usajili huwa ni kimoja tu kama kilivyo cheti cha chuo

Kurenew leseni(sio cheti cha usajili) imewekwa kila mwaka ili kuregulate.

Sasa ukiweka 2024 - 2025, wakati kasajiliwa 2019 na kuruhusiwa kupractise ina maana miaka ya nyuma alikuwa hapractise? Sawa unaweza kuwa hupractise lakini leseni ikiwa hai ina maana una practise
Kwa hiyo mkuu unajazaje hiyo sehemu
 
Sio kweli..
Especially kozi za afya maswali no Yale yale yaliokuwa yanafanyiwa mitihan wakiwa chuo wahitimu wa zamani jobless wengi walishajitolea wakachoka wakaamua kufanya mishe zingine mfano biashara alafu Leo ukamfanyishe mtihani..ilizoeleka hata kama mtu amesahau kazi baada ya kukaa bila kazi mda mrefu siku akiajiriwa uzoefu automatically utarudi akiwa kazini atakumbuka vyote
 
Ndio maana kuna muda wa kujiandaa...kitu kama unajua bas unajua tu
 
Wengine wamehitimu zamani washasahau habari za mitihan
Kwahy Umesahau habari za mitihani ila kutibu watu mnaweza? Sasa kile unachojibu kwenye mtihani c ndo hicho hicho itakuwa jukumu lako kazini au?
 
Kama utumishi wataona hii comment yangu, nawaomba sana watu wa afya na ualimu wafanye usaili ili kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom