Hapo fresh from school ndo watafanya vzr interview kuliko wakongwe wa 2018Ila hapa ni Utumishi (psrs) sio Tamisemi tena mkuu,hao watu kwa sasa zilipendwa😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo fresh from school ndo watafanya vzr interview kuliko wakongwe wa 2018Ila hapa ni Utumishi (psrs) sio Tamisemi tena mkuu,hao watu kwa sasa zilipendwa😀
Hapana.
Ni lini kaingia kwenye practice, yaani lini kasajiliwa, ndio maana cheti cha usajili huwa ni kimoja tu kama kilivyo cheti cha chuo
Kurenew leseni(sio cheti cha usajili) imewekwa kila mwaka ili kuregulate.
Sasa ukiweka 2024 - 2025, wakati kasajiliwa 2019 na kuruhusiwa kupractise ina maana miaka ya nyuma alikuwa hapractise? Sawa unaweza kuwa hupractise lakini leseni ikiwa hai ina maana hupractise
Kwa hiyo mkuu unajazaje hiyo sehemuHapana.
Ni lini kaingia kwenye practice, yaani lini kasajiliwa, ndio maana cheti cha usajili huwa ni kimoja tu kama kilivyo cheti cha chuo
Kurenew leseni(sio cheti cha usajili) imewekwa kila mwaka ili kuregulate.
Sasa ukiweka 2024 - 2025, wakati kasajiliwa 2019 na kuruhusiwa kupractise ina maana miaka ya nyuma alikuwa hapractise? Sawa unaweza kuwa hupractise lakini leseni ikiwa hai ina maana una practise
Soma komenti za nyuma nishaelekeza.Kwa hiyo mkuu unajazaje hiyo sehemu
Sio kweli..Hapo fresh from school ndo watafanya vzr interview kuliko wakongwe wa 2018
Yaani ni sawa na umpe mzoga fisi alafu useme hawezi kula mpaka mifupa!!Naskia Kuwa hakuna interview
Kwann?Hapo fresh from school ndo watafanya vzr interview kuliko wakongwe wa 2018
Especially kozi za afya maswali no Yale yale yaliokuwa yanafanyiwa mitihan wakiwa chuo wahitimu wa zamani jobless wengi walishajitolea wakachoka wakaamua kufanya mishe zingine mfano biashara alafu Leo ukamfanyishe mtihani..ilizoeleka hata kama mtu amesahau kazi baada ya kukaa bila kazi mda mrefu siku akiajiriwa uzoefu automatically utarudi akiwa kazini atakumbuka vyoteSio kweli..
Muda utaongeaYaani ni sawa na umpe mzoga fisi alafu useme hawezi kula mpaka mifupa!!
✅Muda utaongea
Ndio maana kuna muda wa kujiandaa...kitu kama unajua bas unajua tuEspecially kozi za afya maswali no Yale yale yaliokuwa yanafanyiwa mitihan wakiwa chuo wahitimu wa zamani jobless wengi walishajitolea wakachoka wakaamua kufanya mishe zingine mfano biashara alafu Leo ukamfanyishe mtihani..ilizoeleka hata kama mtu amesahau kazi baada ya kukaa bila kazi mda mrefu siku akiajiriwa uzoefu automatically utarudi akiwa kazini atakumbuka vyote
Kuhusu nnUzalendo Installer njo ucomment
ThreadKuhusu nn
✅Ndio maana kuna muda wa kujiandaa...kitu kama unajua bas unajua tu
Naona umeamua kunisema mkuu 😁Kuna raia ana apply sasa hv..zimamoto
Kwahy Umesahau habari za mitihani ila kutibu watu mnaweza? Sasa kile unachojibu kwenye mtihani c ndo hicho hicho itakuwa jukumu lako kazini au?Wengine wamehitimu zamani washasahau habari za mitihan