Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Huyo ndo mwamba sasa, utumishi wanapokea barua ikiwa yamoto 🔥Kuna raia ana apply sasa hv..zimamoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndo mwamba sasa, utumishi wanapokea barua ikiwa yamoto 🔥Kuna raia ana apply sasa hv..zimamoto
Kama ataona uzito kurudi Comments za nyuma bc huo n mtihani 😂 yn kwenye kupambania maisha yako unaweza kurudia kusoma uzi nzima ili kuchukua madini na kurekebisha Application zako kabla ya deadline.Soma komenti za nyuma nishaelekeza.
Au kama unaona uzito kurudi komenti za nyuma, jaza kuanzia mwaka uliosajiliwa hadi mwaka leseni itakapoexpire
Hakuna ubaya mana post hazisemi uandike kwa mkono au typing, ila Mm namshauri mtu kutype.Hivi Kuna ubaya barua kuandika Kwa mkono?
Kwahiyo kijana aliemaliza 2023 akijibu vzr kuliko kaka yake aliehitimu 2015 anakaribia miaka 40 wa zammani anaachwaKwahy Umesahau habari za mitihani ila kutibu watu mnaweza? Sasa kile unachojibu kwenye mtihani c ndo hicho hicho itakuwa jukumu lako kazini au?
Miaka 40 ili ufanye kazi ustaafu mapema? Ndio mana tunaambiwa ht tujitolee ili mambo yasitoke kichwani.Kwahiyo kijana aliemaliza 2023 akijibu vzr kuliko kaka yake aliehitimu 2015 anakaribia miaka 40 wa zammani anaachwa
Kama ataona uzito kurudi Comments za nyuma bc huo n mtihani 😂 yn kwenye kupambania maisha yako unaweza kurudia kusoma uzi nzima ili kuchukua madini na kurekebisha Application zako kabla ya deadline.
Mambo ya umuhimu yapo mengi mkuu, sio hilo moja tuu, tena kwa mtu ambaye ndio mara ya kwanza kutumia huu mfumo itabidi awe makini sana na awe anauliza maswali sana kwa wenye kujua huo mfumo ili nae apate nafasi ya kwenda kukandwa 😂Kikubwa Mungu tu akunyooshe mkono wake kama mtindo ni tamisemi wameipa kazi utumishi naamini Kila mtu alieomba ataitwa interview haijalishi umetype au umeandika Kwa mkono kikubwa mihuri ya mwanasheria
NIliandika Kwa mkono Hadi naanza kupata mashaka ya kubadilisha niweke ya kutypeHakuna ubaya mana post hazisemi uandike kwa mkono au typing, ila Mm namshauri mtu kutype.
Najiuliza wale madokta 2000 na wengine nmeona wanatakiwa 700 na kitu huo usaili unafanykia uwanja wa mkapa au!!! Wapange vtuo vjana mkapige kazi tu...Naskia Kuwa hakuna interview
Hapana, kuwa na amani tuu, iwe umeandika vzr tuu mtu akisoma anaelewa na hii ndio sababu ya Mm kumshauri mtu kutype mana mtu mwingine anaweza akawa na muandiko mbaya afu akaforce kuandika kwa mkono.NIliandika Kwa mkono Hadi naanza kupata mashaka ya kubadilisha niweke ya kutype
Lazima mkandwe wakuu 😂Najiuliza wale madokta 2000 na wengine nmeona wanatakiwa 700 na kitu huo usaili unafanykia uwanja wa mkapa au!!! Wapange vtuo vjana mkapige kazi tu...
Hivi mbona jambo hili tunaliongelea na kulifafanua kila leo hapa! Kinacho angaliwa kwanza ni ufaulu wa interview! Kama utafaulu kumpita aliye maliza miaka ya nyuma basi wewe ndio utapewa kazi lakini kama mtalingana marks na aliye maliza miaka ya nyuma basi wa miaka ya nyuma atapewa nafasi! Kama kweli ulisomea kada husika uwezi shindwa kufanya interview kisa miaka imepita! Sasa mtu wa kada za afya ana sahau vipi mambo yanayo muhusu tena yeye ndiyo kada inayokwenda kupractise kile alichosoma ….Nilihoji humu ndani nikaonekana mshenzi.
Haiwezekani miaka yote waajiriwa kwa kuzingatia mwaka wa kubitimu na mwaka wa kumaliza.
Leo waje wampe jukumu PSRS akande watu.
Mfano MD kamaliza mwaka 2023 ukamwajiri kwa kigezo cha kufaulu mtihani na kumwachq MD wa mwaka 2019 kisa kafeli mtihani.
Kiukweli hizi Ajira zitakuwa na lawama haijawahi kutokea
Wa afya wameshaingia kwenye mfumo😂😂😂😂😂 ila tuhakikishe utumishi wanawakaribisha Walimu kwenye hili jambo 😂😂😂😂😂Kama utumishi wataona hii comment yangu, nawaomba sana watu wa afya na ualimu wafanye usaili ili kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Ndiyo anapewa aliyefaulu mtihani! Lakini wakilingana atapewa aliye maliza zamani! Chamsingi kila mtu ahakikishe anafaulu sasa kama umesahau kila jambo utakwenda kutibu vipi watoto wetu?Kwahiyo kijana aliemaliza 2023 akijibu vzr kuliko kaka yake aliehitimu 2015 anakaribia miaka 40 wa zammani anaachwa
Lkn maisha ni magumu sana Huwa inajulikana kabisa hata walimu wenzangu wanalitambua hili Kuwa hata kwenye darasa Huwa Kuna fast na slow learners na Kuna watu ambao no bright na wengine akili za kawaida tu ndio maana ikawekwa passmarks Kwamba kwanzia 50%-100% wote mmefaulu na interview zinapoenda kifanyika Kuna watakaopata 100 wengine akili za kawaida ni 60% sasa hapo Kwa mtindo huo inabidi watu tuachane tu na hizi ajira maana wenye ufaulu mkubwa haijalishi kamaliza 2023 ndo watakaopata kaziHivi mbona jambo hili tunaliongelea na kulifafanua kila leo hapa! Kinacho angaliwa kwanza ni ufaulu wa interview! Kama utafaulu kumpita aliye maliza miaka ya nyuma basi wewe ndio utapewa kazi lakini kama mtalingana marks na aliye maliza miaka ya nyuma basi wa miaka ya nyuma atapewa nafasi! Kama kweli ulisomea kada husika uwezi shindwa kufanya interview kisa miaka imepita! Sasa mtu wa kada za afya ana sahau vipi mambo yanayo muhusu tena yeye ndiyo kada inayokwenda kupractise kile alichosoma ….
Hivyo chamsingi Soma soma soma soma!
Halafu watu wanaogopa sana usahili jamani kadi nyingine zote walishazoea hili swala la interview…calm down jiandae na mtihani wa kuandika mtatumia computer na ujinoe kidogo kingereza maana wa ana kwa ana ni mwendo wa ung’eng’e
taratibu tu tutaelewana, anaeleta ubishi system itamrejectEty mkuu John Reese kijana Mwenzako kama huyu utamsaidia vp?
Yn ameuliza swali na amejibiwa na watu wawili hapo juu lkn anakuja kuuliza tena swali hilo hilo kwa mara ya pili huku akifukua Comments za nyuma.
Sasa wngn tukisema tuwaeleweshe watu kama hawa ndio nyie mnakuja kusema humu kuna watu wana kibri na ujuaji.