TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hivi baada ya kuomba mfumo unasema already applied mikoa yote wanamaanisha Nini au ndo Kwamba umeomba uende mkoa Fulani alafu ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba?
 
Dua la kuku ngoja ushangae tarehe 20 mwez wa nane wenzio watakapopangiwa vituo bila interview
Wakuu hivi hawa ajira portal huwa wanaongeza muda wa kutuma maombi kama polisi portal

Dakika za jioni sana nimekuja kushtuka kumbe kwenye sehemu ya other attachment mimi niliweka CV tu bila cheti cha kuzaliwa.

Nimetoka kukipakia muda huu

Je wakuu watanizingatia maana mwisho tuliambiwa ni leo tarehe 20

Au safari yangu ya kulamba asali ndio imeishia hapa.

NB: Wakuu tupitie tena application zetu unaweza hisi umemaliza kila kitu kumbe kuna vitu bado hujaviweka sawa, Nimeshtuka dakika za jioni

Au waweza endelea kuedit attachment hata siku zijazo???

Msaada kwa wahenga wa ajira portal
 
Mwisho wa kufanya marekebisho yote ni Leo saa 23:59
 
Kwa walioomba ajira za afya kupitia mfumo wa utumishi wa umma AJIRA PORTAL, Leo ndo mwisho wa kuomba so Hakikisha unapitia account yako kuona kama kila ktu kimekaa Sawa kabla ya saa tano na dakika 59 usiku [emoji120]
 
Waalimu wakae mkao wa kula, sasa msije na maswali yale yale wakati karibu maswali yote khs ajira Portal yameshajibiwa na wana humu.
 
Back
Top Bottom