Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Huu utaratibu wa usaili Kila mkoa ni mzuri Sana Ila wangegawanya Kila kada ijitegemee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeitwa mara mbili kwenye interview za utumishi muhimbili hospital Na leseni haikuwahi kugongwa muhuri acha kupotosha watuNdio
SawaNimeitwa mara mbili kwenye interview za utumishi muhimbili hospital Na leseni haikuwahi kugongwa muhuri acha kupotosha watu
Lazima akandwe kwanza utumishi hawako hivyoWanaojitolea watalamba joker muda sio mrefu.
Subiri utaona watu wapo kazini.Lazima akandwe kwanza utumishi hawako hivyo
🤣🤣🤣 Utumishi NI mwendo wa mikando Tu. Kama umeapply kazi kupitia utumishi Anza taratibu kujisomea mkuuSubiri utaona watu wapo kazini.
Muda utaongea,lisemwalo lipo ngoja tuoneMwaka huu usaili Kwa watu wa afya Hamna TAMISEMI wametoa agizo watu wapangiwe vituo vya kazi Moja Kwa Moja
Hilo tangazo liko wapi.Mwaka huu usaili Kwa watu wa afya Hamna TAMISEMI wametoa agizo watu wapangiwe vituo vya kazi Moja Kwa Moja
Tamisemi haina bajeti ya kuandaa usaili kweli hii ni taarifa ya chinichini na watu wanatakiwa kazini kwa harakaMuda utaongea,lisemwalo lipo ngoja tuone
Afya wasifanye ila walimu wafanye why??
Acheni ndoto za mchana jamn[emoji23]
Kada zote Afya na walimu au afya tu?Tamisemi haina bajeti ya kuandaa usaili kweli hii ni taarifa ya chinichini na watu wanatakiwa kazini kwa haraka
Hawana hela ya kufanyisha usaili afya na elimu tusubiri tuoneKada zote Afya na walimu au afya tu?
Muda utaongea,lisemwalo lipo ngoja tuone
Afya wasifanye ila walimu wafanye why??
Acheni ndoto za mchana jamn😂
Mbona roho zinawauma wazee usaili ni gharama mwajiri ni tamisemi na yeye indie aliyemwambia utumishi ampe watu hana hela ya kuwafanyisha usailiTembelea Sana website ya utumishi mara kwa mara kucheki call for interview na kwenye Account yako ya utumishi kucheki namba ya usail
Mkuu binafsi naomba kusiwe na usail maana na Mimi NI miongoni lakini Kwa kanuni za utumishi sijui labda Kwa hii itakuwa NI mpyaMbona roho zinawauma wazee usaili ni gharama mwajiri ni tamisemi na yeye indie aliyemwambia utumishi ampe watu hana hela ya kuwafanyisha usaili
Kanuni sio shida shida anayehitaji watu hana Fungu la usaili.Mkuu binafsi naomba kusiwe na usail maana na Mimi NI miongoni lakini Kwa kanuni za utumishi sijui labda Kwa hii itakuwa NI mpya
😂Hawana hela ya kufanyisha usaili afya na elimu tusubiri tuone