TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Huu utaratibu wa usaili Kila mkoa ni mzuri Sana Ila wangegawanya Kila kada ijitegemee
 
Tembelea Sana website ya utumishi mara kwa mara kucheki call for interview na kwenye Account yako ya utumishi kucheki namba ya usail
Mbona roho zinawauma wazee usaili ni gharama mwajiri ni tamisemi na yeye indie aliyemwambia utumishi ampe watu hana hela ya kuwafanyisha usaili
 
Mkuu binafsi naomba kusiwe na usail maana na Mimi NI miongoni lakini Kwa kanuni za utumishi sijui labda Kwa hii itakuwa NI mpya
 
Back
Top Bottom