TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Sisj Afya sio kwamba tunaogopa usaili labda nijizungumzie mimi binafsi

Nimeshafanya saili tatu za utumishi mwaka juzi na mbili mwaka jana nashukuru Mungu nikafika hadi usaili wa mahojiano japo sijabahatika kuajiriwa.

Mara nyingi ukiangalia Hospital kubwa kama MUHIMBILI, BUGANDO,JKCI,MOI hizi ndizo zilikuwa zinafanyosha usaili lakini mtu unajua tunapambana unaenda kukutana na vitu vifuatavyo.

1.Mshahara mzuri tofauti na tamisemi.
2.marurupu ya kutosha.

Sasa leo Tamisemi wakiamua kuajiri kwa usaili watakuwa wanawaonea sana watu Maana sehemu zao za kazi.

Serikali inahuhitaji mkubwa sana wa watumishi wa afya tena kwa uharaka
Mshahara mdogo.
Hakuna marurupu.
Wanakijiji na wanasiasa kuchongeana.
Utaratibu awali ulikuwepo wa kuajiri kwa kuzingatia mwaka na muda wa mwajiri aliomaliza chuo.

So Tuwe wapole.

Sio kwamba Tunaogopa usaili.

Ila asilimia 80% ya watu wa afya hawaipendi tamisemi tuwaambie ukweli tu Tunaenda kwa kuwa kama last option.
Ila ww jamaa bhana 😂 hua unanifurahisha sana linapokuja suala la interview
 
Ila ww jamaa bhana [emoji23] hua unanifurahisha sana linapokuja suala la interview
Wewe furahi mwenzako nimeshafanya saili za kutosha tena za hao utumishi nenda kamsikilize Raisi ametoa maagizo gani kwa PSRS
 
Hapa aliongelea walioko kwenye ajira za mkataba za taasisi ya benjamini mkapa wapewe ,ila hii kitu ilikuwepo kipindi cha JK pia alikuwa anawaajir wakimaliza mkataba wa benjamini mkapa kuna kaka yangu alinufaika pia baada ya kumaliza mkataba wa taasisi ya benjamini foundation ajira za serikali walivo Tangaza wakaingizwa serikalini na hichi ndicho alichomaanisha mh .Rais,huu utaratibu ulikuja kuvurugwa na mr Jiwe
 
Hukusikia alisema wanaojitolea kwingineko?!
 
[emoji3][emoji3] watapungua kisa usahili,kwa hiyo walimu wanaogopa usahili?
Education wengi walikuwa wanaenda sababu ya uhakika wa ajira japo mshahara duni
Education ni kozi ya wanyonge (Angalia kuanzia vyuoni kwao mpaka maisha ya walimu wengi wametokea familia duni)

Kama education ambapo kuna maslahi duni Na usahili si bora mtu asome Tax management sasa ili akipata kapata
 
Hapa aliongelea walioko kwenye ajira za mkataba za taasisi ya benjamini mkapa wapewe ,ila hii kitu ilikuwepo kipindi cha JK pia alikuwa anawaajir wakimaliza mkataba wa benjamini mkapa kuna kaka yangu alinufaika pia baada ya kumaliza mkataba wa taasisi ya benjamini foundation ajira za serikali walivo Tangaza wakaingizwa serikalini na hichi ndicho alichomaanisha mh .Rais,huu utaratibu ulikuja kuvurugwa na mr Jiwe
Nadhani hawa ni wale waliopitia Taesa wengi naona wanaajirika haraka zaid
 
Naomba Mungu watu wa afya na waalimu wawe na Interview hata ile ya tell us about yourself 😎
😂😂Utumishi wanazoom tu, midahalo ya watu " kuwepo au kutokuwepo kwa usahili" Kitawalamba watu mwisho wa siku jina lako linatoka na unatakiwa kufika eneo la interview
 
Ulitegemea akuambie hamna interview?
Interview inaweza iwepo au isiwepo kutegemeana na bajeti na hakuna mwafaka juu ya hili.
Kusaili watu wengi kunahitaji muda na pesa.
We jamaa mbona unakaza fuvu sana kulikoni?
Ndugu mwalimu subiri mkando
 
Ulitegemea akuambie hamna interview?
Interview inaweza iwepo au isiwepo kutegemeana na bajeti na hakuna mwafaka juu ya hili.
Kusaili watu wengi kunahitaji muda na pesa.
Utumishi Wana uzoefu kuna moja ya TRA waliitwa watu elfu 12+ ukafanyikia uwanja wataifa, mikando haikwepeki mkuu, wee soma sana hapo tena deeply haswaa
 
Back
Top Bottom