TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

S U N N Y

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
75
Reaction score
153
# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.

Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza

vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato hatujawahi koma. Wanataka vijana wafe na UMASIKINI kwa kuacha kufanya kazi wabaki wanasubiri mchakato wao wa Ajira za mchongo.
 
- Leo ikatokea nikakutana na mfanyakaz yoyote wa sekretarieti ya ajira ntamwambia hivi ::


Ntaanza na swali hili ...

IVI KIONGOZI MKITOA pdf MOJA GENERAL MTAPATA HASARA GANI NYIE WATU ???

kimzaha mzaha Mara mtunange kua twende VETA Mara mtoe pdf ya watu Saba, mjue mtatuua vijana kwa umaskini nyie Jama ???

Watu tuna acha kufanya kazi, Kila siku tunashinda online kusubiri pdf zenu za watu ishirini/ arobaini Kati ya watu 14 elfu.

#tushapoteza pesa zetu na muda wetu mwing sana kwenye maandalizi na ufanyaji wa interview.

Tumesha hatarisha vibarua vyetu na madeal yetu tuloyatelekeza kwa myezi miwili yote tukifocus na interview zenu.

Sasaiv tunanunua badle na kupoteza muda Kila siku tukiwa online.

Tuseme mnatoa majina kwa mafungu sababu hamuwezi kupokea watu wote kwa mkupuo....

kwani tuambieni mkitoa pdf moja general ya watu wote mlo amua kuwaajiri alaf mkaweka tarehe tofauti za kuripoti kwa makundi Kuna ubaya gani ???

Ivi mnavyotufanyia interview kuangalia vigezo ninyi mnazingatia pia vigezo vya kazi yenu kwamba mnapaswa kuzuia CHAOS miongoni mwa vijana ili msiasithiri Sana maisha yao na uzalishaji ktk jamii in general ??

Tumieni ustaarabu basi vijana tuendelee na shughuri za kiuzalishaji

msituweke Kama ng'ombe wa kafara kwenye makundi ya WhatsApp na Instagram Kila siku.. huku mwisho wa siku hatupati chakula Wala posho kwa kusoma pdf zenu za kimchongo .

Kwa kawaida sidhan Kama mnaelewa kuwa kununua vocha kwa mwezi mzima kunafanana na pesa inayotoshea Kodi as ninyi mnakaa kwenye nyumba za serikali na au mshajijengea majumba ya kifahari na ham mjui mwenye njaa anaekaa geto la 30/ 40 kwa mwezi huku hana kipato Cha uhakika..

Nikimwona hata mfagia ofisi wao. Nitamwambia hivyo... Nimzogoe na kichwa Hadi avunjike shingo.

Af nikimbie.
 
# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.

Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU Kama

vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato hatujawahi koma. Wanataka vijana wafe na UMASIKINI kwa kuacha kufanya kazi wabaki wanasubiri mchakato wao wa Ajira za mchongo.
Kutegemea ajira za serikali ndo chazo cha umasikini kwenye vijana wetu
 
# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.

Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza

vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato hatujawahi koma. Wanataka vijana wafe na UMASIKINI kwa kuacha kufanya kazi wabaki wanasubiri mchakato wao wa Ajira za mchongo.
Penye Mwafrika pana mambo mengi.
 
Back
Top Bottom