Kutegemea ajira za serikali ndo chazo cha umasikini kwenye vijana wetu# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.
Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU Kama
vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato hatujawahi koma. Wanataka vijana wafe na UMASIKINI kwa kuacha kufanya kazi wabaki wanasubiri mchakato wao wa Ajira za mchongo.
Kutegemea ajira za serikali ndo chazo cha umasikini kwenye vijana wetwangewaacha watu waendelee na ujasiriamali wao.
Walisha shauriwa na PM waende Veta kwabza wapata ujuzi zaidi, lakini hawasikii kwanini?View attachment 3279018ni
Badala ya kuwafanya mazutwa humo mtandaoni. Kutwa kusubiri kazi ambazo bado na zenyewe ni zakipuuzi tu.
Penye Mwafrika pana mambo mengi.# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.
Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza