Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn msimsauu yule mzee Sumu aiyonjwi. Sasa tuwaze namna ya kuonja sumu au mm ndio sijaelewa!!!!!Yule ndo mwanaume na ndo Mpinzani haswa.. Hoja zake zilikuwa za msingi na Cdm wameingia Mazima kwenye mkenge ambao walitakiwa kutathimini kwanza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430 zinazoshindaniwa.
Waziri huyo amesema hayo leo Jumamosi, Novemba 16, 2024 wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dodoma akitoa tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amesema nafasi zitakazogombewa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumatano ya Novemba 27, 2024 ni mwenyekiti wa kijiji nafasi 12,280, mwenyekiti wa mtaa nafasi 4,264 na mwenyekiti wa kitongoji nafasi 63,886, wajumbe wa serikali ya kijiji 230,834 na wajumbe wa kamati ya mtaa 21,320.
Amesema CCM kilifanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote zilizogombewa, huku vyama vingine vikiweka wagombea katika baadhi ya nafasi.
Nafasi za mwenyekiti wa kijiji zinazogombewa ni 12,280 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 6,060 sawa na asilimia 49.35 ya nafasi hizo.
Amesema nafasi za mwenyekiti wa mtaa zinazogombewa ni 4,264 ambapo vyama 18 vya siasa viliweweka wagombea katika nafasi 3,281 sawa na asilimia 76.94 ya nafasi hizo.
"Nafasi za mwenyekiti wa kitongoji zinazogombewa ni 63,886 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 21,636 sawa na asilimia 33.87 ya nafasi hizo," amesema.
Amesema nafasi zote zinazogombewa ni 80,430 (ukitoa nafasi za wajumbe wa serikali za vijiji na kamati za mitaa), ambazo zinajumuisha vijiji 12,280, mitaa 4,264 na vitongoji nafasi 63,886.
TAMISEMI
Waislam tunaambiwa sana madaraka ukipewa yaangalie mara 1000 mbele jee hayataumiza wengine? Ukiona yataumiza unashauriwa uachane nayo ukatafute jembe ukalimeKifua kipana.
Hasara anapata nani?Shida yao hao vilaza huwa wanatuona wananchi wote hatuna akili. Mimi ndiyo maana sijishughulishi tena na huo upuuzi wao wa kupiga kura.
Nyinyi ndiyo mtakaopata hasara kwa kupoteza muda wenu kupanga foleni, huku mkiwa hamna nguvu ya kumpata mshindi halali.Hasara anapata nani?
Inashangaza serikali nayo inagombania nafasi za uongozi na wakati huohuo na wao serikali ndio marefarii wa uchaguzi huo!Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430 zinazoshindaniwa.
Waziri huyo amesema hayo leo Jumamosi, Novemba 16, 2024 wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dodoma akitoa tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amesema nafasi zitakazogombewa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumatano ya Novemba 27, 2024 ni mwenyekiti wa kijiji nafasi 12,280, mwenyekiti wa mtaa nafasi 4,264 na mwenyekiti wa kitongoji nafasi 63,886, wajumbe wa serikali ya kijiji 230,834 na wajumbe wa kamati ya mtaa 21,320.
Amesema CCM kilifanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote zilizogombewa, huku vyama vingine vikiweka wagombea katika baadhi ya nafasi.
Nafasi za mwenyekiti wa kijiji zinazogombewa ni 12,280 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 6,060 sawa na asilimia 49.35 ya nafasi hizo.
Amesema nafasi za mwenyekiti wa mtaa zinazogombewa ni 4,264 ambapo vyama 18 vya siasa viliweweka wagombea katika nafasi 3,281 sawa na asilimia 76.94 ya nafasi hizo.
"Nafasi za mwenyekiti wa kitongoji zinazogombewa ni 63,886 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 21,636 sawa na asilimia 33.87 ya nafasi hizo," amesema.
Amesema nafasi zote zinazogombewa ni 80,430 (ukitoa nafasi za wajumbe wa serikali za vijiji na kamati za mitaa), ambazo zinajumuisha vijiji 12,280, mitaa 4,264 na vitongoji nafasi 63,886.
TAMISEMI
Huyu ni waziri shetani na mwongo mkubwa.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430 zinazoshindaniwa.
Waziri huyo amesema hayo leo Jumamosi, Novemba 16, 2024 wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dodoma akitoa tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amesema nafasi zitakazogombewa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumatano ya Novemba 27, 2024 ni mwenyekiti wa kijiji nafasi 12,280, mwenyekiti wa mtaa nafasi 4,264 na mwenyekiti wa kitongoji nafasi 63,886, wajumbe wa serikali ya kijiji 230,834 na wajumbe wa kamati ya mtaa 21,320.
Amesema CCM kilifanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote zilizogombewa, huku vyama vingine vikiweka wagombea katika baadhi ya nafasi.
Nafasi za mwenyekiti wa kijiji zinazogombewa ni 12,280 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 6,060 sawa na asilimia 49.35 ya nafasi hizo.
Amesema nafasi za mwenyekiti wa mtaa zinazogombewa ni 4,264 ambapo vyama 18 vya siasa viliweweka wagombea katika nafasi 3,281 sawa na asilimia 76.94 ya nafasi hizo.
"Nafasi za mwenyekiti wa kitongoji zinazogombewa ni 63,886 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 21,636 sawa na asilimia 33.87 ya nafasi hizo," amesema.
Amesema nafasi zote zinazogombewa ni 80,430 (ukitoa nafasi za wajumbe wa serikali za vijiji na kamati za mitaa), ambazo zinajumuisha vijiji 12,280, mitaa 4,264 na vitongoji nafasi 63,886.
TAMISEMI
Ushindi kupitia udhalimu wa kuzuia wapinzani wasigombee, kwa kuwawekea vikwazo mbali mbali, NI AIBU kujivunia ushindi wa wiziKwa hiyo hata kabla ya kupiga kura CCM tumeshashinda kwa zaidi ya asilimia 60
Alipoulizwa kuhusu Tume Kificho ya Watu wachache wa Frelimo ikifanyaje kufanya uchafuzi wa mchakato wa mzima wa matayarisho ya uchaguzi, uandikishaji na upigaji kura siku ya uchaguzi tarehe 9 Oktoba 2024 kigogo Fernado Mazanga alifunguka ...
Wasipotimia wapiga kura wasimamizi wa uchaguzi watajazia ☺️☺️Mi nasubiri TU kuona wataojitokeza kupiga kura...
mkoa wa Dodoma kuja kuwasikiliza viongozi za CHADEMA ujumbe unaoongozwa na Benson Kigaila,
Hakuna kinacho kukera ndio maana hupigi kura.Ukitaka kufanya mabadiliko yoyote wajibika,shiriki uchaguzi piga kura kijana,ukipiga kura utaitetea kura yako na MUNGU wa mbinguni atayasikia maombi yako.Tunatakiwa tuhamasishane kwende kupiga kura,ww usihofu kwamba wataiba kura shiriki na amini hawataiba siku zote,wakati wa MUNGU ukifika nakuhakikishia hakuna mtu ataiba kura na siku ipo ambayo wezi wote na wahuni watarudi shimoni na nakuhakikishia hilo.Twendeni tukapige kura kwa furaha na tumtangulize MUNGU.Shida yao hao vilaza huwa wanatuona wananchi wote hatuna akili. Mimi ndiyo maana sijishughulishi tena na huo upuuzi wao wa kupiga kura.
Huwezi kuaminika kirahisi wakati umeandaa mazingira ya kushinda uchaguzi kwa nguvu,kama kweli Demokrasia ni uwanja wa wote iweje ww uwe unajua kila kitu kuliko wenzako,unawatengenezea wenzako mazingira ya kipumbavu kabisa hayajaenda hata shule ukidhani watu ni wajinga.Hizo data ni za kupika tu kwa sababu mazingira yamejionyesha toka mwanzoni mwa zoezi hili.Wizara ina Mkwe ambaye hataki mama Mkwe wake ashindwe,sasa huyo ndio tutegemee atuambie ukweli while he is not serious.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote za vijiji, vitongoji na mitaa huku upinzani ukiweka wagombea 30,977 sawa na asilimia 38 ya nafasi zote 80,430 zinazoshindaniwa.
Waziri huyo amesema hayo leo Jumamosi, Novemba 16, 2024 wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dodoma akitoa tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amesema nafasi zitakazogombewa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumatano ya Novemba 27, 2024 ni mwenyekiti wa kijiji nafasi 12,280, mwenyekiti wa mtaa nafasi 4,264 na mwenyekiti wa kitongoji nafasi 63,886, wajumbe wa serikali ya kijiji 230,834 na wajumbe wa kamati ya mtaa 21,320.
Amesema CCM kilifanikiwa kuweka wagombea katika nafasi zote zilizogombewa, huku vyama vingine vikiweka wagombea katika baadhi ya nafasi.
Nafasi za mwenyekiti wa kijiji zinazogombewa ni 12,280 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 6,060 sawa na asilimia 49.35 ya nafasi hizo.
Amesema nafasi za mwenyekiti wa mtaa zinazogombewa ni 4,264 ambapo vyama 18 vya siasa viliweweka wagombea katika nafasi 3,281 sawa na asilimia 76.94 ya nafasi hizo.
"Nafasi za mwenyekiti wa kitongoji zinazogombewa ni 63,886 ambapo vyama 18 vya siasa viliweka wagombea katika nafasi 21,636 sawa na asilimia 33.87 ya nafasi hizo," amesema.
Amesema nafasi zote zinazogombewa ni 80,430 (ukitoa nafasi za wajumbe wa serikali za vijiji na kamati za mitaa), ambazo zinajumuisha vijiji 12,280, mitaa 4,264 na vitongoji nafasi 63,886.
Ameongeza kuwa kati ya rufani 16309 ziizopokelewa baada ya muda wa nyongeza wa siku mbili nilizoongeza za rufaa takribani rufaa 5589 zimepokelewa na kukubaliwa hii ilizingatia kuwa dosari ambazo zilisababisha kuto teuliwa kwao hazikuwa kubwa na kuathiri kanuni.
TAMISEMI