Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

 
Mmmm BASUTA hakuna shule hata kidogo! Hakuna critical analysis waliyofanya wao wanalilia imani yao tu hawana jipya!
 
Kikwete nenda ukakemee hili,"Tusichanganye dini na siasa."
Kukiwa na Akili ndogo na Akili kubwa mapigano huwa hayatokei. Au akili kubwa kwa akili kubwa mapigano hayatokei.
Ila kukiwa na akili ndogo mbili lazima kitawaka. Angalia TEC kimya wala hawawezi kujibu huu upuuzi. Kwa sababu ni akili kubwa. Ingekuwa TEC akili ndogo kingewaka tu.

Naona hapo JK anapata jibu
 
TEC imemaliza kila kitu, hawa wengine ni kujikombakomba na kujiabisha kwa kushindwa kujenga na kupangua hoja wanabaki kuilaumu TEC kwa mambo ambayo hata wao kama waliona hayako sawa wangepinga. Afadhali KKKT hawakushutumu yeyote waliposema wanaunga mkono uwekezaji walisema kwa hekima na busara kubwa wakajikwepesha kuonesha msimamo wao juu ya mkataba wa bandari. Ishu hapa ni mkataba wa bandari una vipengele tata kwa nchi na hoja zimetolewa. Sasa huko kwenye madini mwekezaji aliwekeza kwenye lango kuu la nchi? Unafananishaje uwekezaji wa madini mikataba yake na bandari? Hizi bado ni hoja za kidini tu hapa hakuna cha maana tusubiri wengine nao waibuke na matamko yao tuyapime yana akili kiasi gani
 
Wewe ndo msemaji wa Tec au ushabiki tu?
 
Binafsi, anayewapinga TEC, kama hachambui vipengele vya mkataba against tamko la TEC, NAMWONA HANA AKILI..!!
Hii ni big brains vs zero brains; suala ni hoja kuhusu mkataba wa bandari au mwenzangu ameongea nini huku ukisisitiza kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Inasikitisha, kama uko idle na huna la kujadili bora ukae kimya. Poor arguments!! TEC wamewasilisha kwa kuchambua hoja za mkataba na wewe fanya hivyo KAMA UNA BRAINS
 
Hiyo mikataba mingine uliwahi kuiona? Tuwekee hapa mmoja wapo hapa tuuchambue na kuona uzuri wake au ubaya wake.Mambo ya dini waachie wenyewe huko sisi huku hayatuhusu, deal na mikataba tu.
 
Badala ya kushambulia wanaopinga mkataba, ilibidi muonyeshe uzuri wa huo mkataba,
Sasa mnakuja na hoja,"kwa vile huko nyuma watu hawakupinga mikataba mibovu, na kutaka ifutwe, basi hata huu hata kama ni mbaya,wasipinge"hoja ya kijinga kabisa, wanafikiri watu wanapinga kwa sababu rais ni islam mwenzao,
Alipingwa mkapa, Mwinyi,Kikwete, Maghu,
Waraka wa TEC, umeandaliwa, na wasomi, PHD holders, nyie mnakusanyika maamuma, elimu kubwa mlionayo, ni kufundisha madrasa!
 
Small brains akili hazitoshi hata kuvukia barabara.
Upeo unaishia kwenye tende na harua.
Msipojua kuongoza lazima akili kubwa ziwaongoze.
Sasa mtu anaekula jalamba la kutafuna mabikra 72 Hana lolote zaidi ya mipasho ya akina mashauzi
 
Matokeo ya social engineering inayogawa tende, nyama ya ngamia na kufundisha elimu ya ulimwengu mwingine VS matokeo ya social engineering inayojenga shule, hospitali na huduma nyingine za kijamii
Mi nashangaa aliyetengenezwa kusolve social challenges (Sheria, utabibu, ualimu, uhadhir, ujenzi, saikolojia etc) anabishiwa na mbumbumbu aliyetengenezwa kuelezea adhabu za kabr, maisha ya Motoni, uchawi, utabiri wa nyota, kuvimbisha wa football katikati ya miguu etc etc. Hawa ni viumbe wawili tofauti hata mtiririko wa mawazo yao unaona kabisa Hawa ni vipofu waliokusanyika gizani wakijiamini wapo nuruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…