mavuno nyamanoro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 587
- 155
Hili tamko limejaa hekima ndani yake.
hekima ya kipumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili tamko limejaa hekima ndani yake.
Ni kweli hata wao wanajua hilo. Lakini mimi tatizo langu hasa halikuwa nani kasema nini. Langu lilikuwa ile haki iliyopotea inakuja kwa kukubali yaishe?
Hivi bado kuna wanoamini kuwa usawa unaombwa? Hakuna heshima ya bei rahisi.
Kwa kusema kuwa taarifa za ikulu hazikuwa za ukweli tayari mmeshafunua utupu wa baba... Mkatubu
Hawajakubali yaishe, ila wanajua ikulu haitakubali kosa. Kwa kauli yao wameamua kuuambia umma kuwa ikulu inayokaliwa na ccm ni waongo na wachakachuaji. Akili mu kichwa.
Unadhani watu wa jinsia moja waowane lazima watu waliogope.
Sijawahi kuwaamini walokole hata mara moja.
Wengi wao ni waganga njaa na waongo.
Bora hawakuenda wakati wa dua ya kuliombea bunge wao wangeanza kuomba ilesara yao ya sarabhakundharabha kundarabhakundarabhahondanasuzukihondanasuzukihondanasuzukikawasakikawasakiyamahayamahayashikayashikaurabhasechanabakuryaurabhasechanabhakuryaaaa
sasa kama ni waganga njaa na waongo wewe inakuhusu na kukuumiza kitu gani?
walokole nao wanamungu wao,na wewe si una mungu wako?
mtoto wa watu wewe,bila shaka si mchana si usiku mtoto utakuwa si mali kitu
kahtaan njoo umuone mtoto wangu na mimi wa kufikia huyu
wewe wako si Matola?
Wa kwangu mimi huyu hapa
Ngoja nimpige picha mutoto muzuri 😛hoto: 😛hoto:
Sijawahi kuwaamini walokole hata mara moja.
Wengi wao ni waganga njaa na waongo.
Ulokole ni janga jingine ktk dunia. kama IKURU ni baba yao ikowapi maana ya andiko lisemalo, karipia na kuonya mtu asiuzarau ujana wako.
Teh teh teh!
Na wewe mkuu umeokota wa kulea!??
Mimi isingekuwa zile bata za mama Matola labda ningeshamuua na Matola!
Lkn kila hasira zikipanda! Mama Matola ananitazama kwa lile jicho la mla kungu!
Na mimi nguvu zinaniisha!
Manake mkuu asikwambie mtu bwana!
Kina mama wa songea wanajua kulea!
Mi mwenzako nakula bata kwa fujo!