Teh teh teh!
Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!
Mbona wamekuwa wapole ghafla??
Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??
Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!
Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote
Utawala wa CCM, "MENE MENE TEKELI NA PERESI!" Soma Danieli sura ya 5 utaelewa!Baba yao ni RC
sure: wamesema vyema, ..uwongo ni dhambi kwa mkristo.Teh teh teh!
Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!
Mbona wamekuwa wapole ghafla??
Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??
Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!
Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote
sure: wamesema vyema, ..uwongo ni dhambi kwa mkristo.
poleni nyie wenye kupenda Al taqiya.
penye red:mathayo 11:29 yesu akawaambia... Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
baibo yote inatumika, ni uwezo wako tu, wa kupambanua bado uko rigid sana kiasi unashindwa kuona na kwakuwa unalengo ili kuwashawishi watu waamini mambo yenu. nyinyi ndio wa kuhojiwa hapo, kwakuwa wengine mnaamini katika hadithi na wengine hamziamini hadithi. infact hata kama ningekuwa ni mimi, ..ningechagua kutoamini hadithi, hadithi!!! kwanini niamini hadithi?!!!.. ningeamini fact tu. lakini hamna fact bali taqiya. oops nadhani ningechagua upagani.
Nimechoka na tamko hilo halafu tamko dhaifu hilo linatufanya tuonekane wanyonge kweli. kukubali aliyetumwa majina hakufikisha kabisa ingekuwa busara za kuongozwa na roho. Lakini kupindisha maandiko kuwa serikali ni baba yao haki ya kweli wakati wenu utafika. pengine haya makanisa wengi wakimbizi ambao hawana sifa kutunga katiba
Yeah! I can see how you guys Hate to con people!
Hivi siku hizi kuna matapeli kama wachungaji!?
I think you guys are the best on that field!
Check this out!
hebu muangalieni huyu mtumushi wa YESU!
www.youtube.com/watch?v=Hh28r2VjL1k
Unadhani watu wa jinsia moja waowane lazima watu waliogope.
Bora hampo tu maana nisingependa kusikia askofu wa kanisa la pentecost yupo katikati ya watu wanaopigania posho za wajumbe ziongezwe wakati wananchi huko musoma vijijini wanalia njaa wapate japo mahindi ya mlo wa siku
Mambo ya Walawi 18:7
Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, USIUFUNUE, maana ndiye mama yako; Usiufunue utupu wake.
Baraza la maaskofu wa kipentecoste lilalamikia ubaguzi katika
1. Bunge la katiba
2. Kunyimwa nafasi radio na TV ya taifa
3. Kubaguliwa kwenye maombi ya kumsimika rais
Kama kwenye bunge hawakupeleka majina je hayo mengine walikaribishwa wakakataa?
Bora hawakuenda wakati wa dua ya kuliombea bunge wao wangeanza kuomba ilesara yao ya sarabhakundharabha kundarabhakundarabhahondanasuzukihondanasuzukihondanasuzukikawasakikawasakiyamahayamahayashikayashikaurabhasechanabakuryaurabhasechanabhakuryaaaa