Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

Teh teh teh!

Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!

Mbona wamekuwa wapole ghafla??

Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??

Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!

Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote

minshalil wasiwasi lhanas.
 
Last edited by a moderator:
Ukibishana na mtu mwenye matatizo na wewe utakuwa na matatizo, hongera sana watumishi wa mungu kwa uamuzi wenu huo wa busara, nafasi zenu wamepewa akina Kingunge wakaongeze nguzu ya kupitisha serikali mbili.
 
Wakati mkikutana awali na kutoa matamko hiyo aya ya MAMBO YA WALAWI 18:7 hamkuiona????
 
Teh teh teh!

Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!

Mbona wamekuwa wapole ghafla??

Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??

Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!

Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote
sure: wamesema vyema, ..uwongo ni dhambi kwa mkristo.
poleni nyie wenye kupenda Al taqiya.

penye red:
mathayo 11:29 yesu akawaambia... Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.

baibo yote inatumika, ni uwezo wako tu, wa kupambanua bado uko rigid sana kiasi unashindwa kuona na kwakuwa unalengo ili kuwashawishi watu waamini mambo yenu. nyinyi ndio wa kuhojiwa hapo, kwakuwa wengine mnaamini katika hadithi na wengine hamziamini hadithi. infact hata kama ningekuwa ni mimi, ..ningechagua kutoamini hadithi, hadithi!!! kwanini niamini hadithi?!!!.. ningeamini fact tu. lakini hamna fact bali taqiya. oops nadhani ningechagua upagani.

Yeah! I can see how you guys Hate to con people!

Hivi siku hizi kuna matapeli kama wachungaji!?

I think you guys are the best on that field!
Check this out!

hebu muangalieni huyu mtumushi wa YESU!
www.youtube.com/watch?v=Hh28r2VjL1k
 
Nimechoka na tamko hilo halafu tamko dhaifu hilo linatufanya tuonekane wanyonge kweli. kukubali aliyetumwa majina hakufikisha kabisa ingekuwa busara za kuongozwa na roho. Lakini kupindisha maandiko kuwa serikali ni baba yao haki ya kweli wakati wenu utafika. pengine haya makanisa wengi wakimbizi ambao hawana sifa kutunga katiba

hawa WATAKUWA wamezungukana wenyewe...huenda hata kwenye kuchagua Majina yenyewe hawakukubaliana .....waliyempa hakufikisha....Kwani Serikali inayo nongwa gani ..imewapa Ubunge hata wenye Vi NGO na vyama Vya Maelezoo ishindwe VIPi kuchagua Mwakilishi wa walokole? .
lakini Nadhani kuna wabunge Maaskofu wa Kilokole Bungeni Kama Mchungaji Rwakatare....wanaweza kumpa maoni ya Maaskofu wenzake ayapeleke Bungeni ..hawajachelewa..na Haina maana hawajawakilishwa kabisa...
 
Naona jamaa hawa wala wasimgelakamika kama sio ule uvumi juu ya posho ya laki 7 kwa siku.
 
Yeah! I can see how you guys Hate to con people!

Hivi siku hizi kuna matapeli kama wachungaji!?

I think you guys are the best on that field!
Check this out!

hebu muangalieni huyu mtumushi wa YESU!
www.youtube.com/watch?v=Hh28r2VjL1k

mkuu,kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe, kwani nimewahi sikia viongozi wa imani ya katoliki wakisema hivyohivyo kuwa kama kuna jambo linalotishia ukristo sio imani ya uislam wala dini nyingine bali ni wahubiri feki waliopo katika ukristo wanaowavuruga watu wasifuate imani ya kikristo kwa ukamilifu.

kuhusu huu www.youtube.com/watch?v=Hh28r2VjL1k.
binafsi sijaishi kenya,manake isije ikawa ni television ya dini ya waislamu, ikawa inatoa information za kuwafeva waislamu tuuu. mtangazaji anaitwa muhamed ally( kitu naweza kuhoji imani yake na kuitilia shaka pamoja na maudhui yake) na polisi walionekana hawana uniform (kiasi cha kuhoji upolisi wao.) kukosekana kwa maoni ya mchungaji na sura yake kuonekana vizuri
na waandishi waliokamatwa na polisi pasipo kukamilisha habari yao ya kiuchunguzi na kuitoa ikiwa imekamilika wanaongeza shaka kuhusiana na taaluma yao kiufupi.

all in all, it is interesting news ambayo sio ya kupuuza, ambayo imeonekana kwenye local level.

zaburi 130: 3 Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?

NB mkuu, matapeli hawana muhuri
yesu alishahitimisha si wote waniitao bwana bwana...watakoiona mbingu
na akasisitiza marko13: 31 mbingu na dunia zitapita lakini maneno yake hayatapita kamwe
 
Bora hampo tu maana nisingependa kusikia askofu wa kanisa la pentecost yupo katikati ya watu wanaopigania posho za wajumbe ziongezwe wakati wananchi huko musoma vijijini wanalia njaa wapate japo mahindi ya mlo wa siku

sizitaki mbichi hizi.........!!!!!!?
 
Mambo ya Walawi 18:7
Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, USIUFUNUE, maana ndiye mama yako; Usiufunue utupu wake.

Kama ni kweli mbona wameshafunua tayari. Yaleyale ya "heri mimi sijasema".
 
Baraza la maaskofu wa kipentecoste lilalamikia ubaguzi katika
1. Bunge la katiba

2. Kunyimwa nafasi radio na TV ya taifa

3. Kubaguliwa kwenye maombi ya kumsimika rais

Kama kwenye bunge hawakupeleka majina je hayo mengine walikaribishwa wakakataa?

Kwenye maombi ya kusimika rais hata ningekuwa mimi ndio mwandaaji nisingekaribisha walokole, maana ni fujo tupu. Wakianza kukemea mapepo na misukule sijui na majini mnadhani hiyo sherehe itaendelea?
 
Bora hawakuenda wakati wa dua ya kuliombea bunge wao wangeanza kuomba ilesara yao ya sarabhakundharabha kundarabhakundarabhahondanasuzukihondanasuzukihondanasuzukikawasakikawasakiyamahayamahayashikayashikaurabhasechanabakuryaurabhasechanabhakuryaaaa

Oooooh rababababababababa karoboshhhhhhhh kandaraba korya saka uuuuuuh rabarabarabarabarabaraba kandoromakorya
 
......hermeneutics kwa maaskofu hawa imegomba..I don't believe tafsiri ya hiyo text iko sahihi
 
KUBAKA NA KULAWIT vitoto aaaaaaaaaaaaaa..katoliki mnatisha lazima tuwaogope.......

Teh teh teh!
Mkuu umepiga pentagon! Ngoja nikuitie huyo mmoja wao apate hivi vidonge!
Cc Remote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom