Uchaguzi 2020 Tamko la chama cha Julius Malema wa EFF juu ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Tamko la chama cha Julius Malema wa EFF juu ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Mtukudzi

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
103
Reaction score
408
Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.

Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
IMG_20201103_121001.jpg
IMG_20201103_120954.jpg
 
Kidogo kidogo dunia nzima inakuja Tanzania kuishinikiza serikali irudie uchaguzi huru na wa haki ikiwa na katiba mpya, si hii katiba ambayo wanaikanyaga wenye mamlaka halafu raia anaelipa kodi hio katiba haimlindi mbele ya vyombo vya serikali. We have to do something.
 
Kila pande ya Dunia inapiga yoweee...mwizii...mwiziiii...mwiziii huyoooo hana aibuuu mchana kweupeee...mwiziiiiii
Hata Professor Kaguta Museven na Dr. Kagame Hawajawahi Kufanya hiki Kilichotendeka kwenye nchi nzuri aliyotuachia Mwl. Nyerere. CCM Mmetukosea sana Watanzania. Hata huko Nje ukisema unatoka Tanzania kwa sasa Itakuwa Unaona aibu.
 
Tutakinywea kikombe na walio wengi Waliwezesha dhambi iliyotendeka. Ni swala la Muda tu Kama nchi Tutajua Tumebugi kwenye Uchaguzi. Uchaguzi gani usiokuwa na Wapinzani. Very shame as a Nation... Ngoja Walioshinda washerekee lakini ni kama hawana FURAHA na USHINDI wao, Maana Taifa limevimba na lipo gizani.
Sasa kama watanzania wameamua nyinyi mnataka muwalazimishe kuchagua upinzani? Kwa nini msiende mahakamani? Sasa nyinyi wakati wa kampeni mlikuwa mnahangaika na kuwaeleza watz jinsi utakavyoingia barabarani kupitia beberu Amsterdam. Kama hamjui watz hawapendi kibaraka hata siku moja.
 
Sasa kama watz wameamua nyinyi mnataka muwalazimishe kuchagua upinzani? Kwa nini msiende mahakamani? Sasa nyinyi wakati wa kampeni mlikuwa mnahangaika na kuwaeleza watz jinsi utakavyoingia barabarani kupitia beberu Amsterdam. Kama hamjui watz hawapendi kibaraka hata siku moja.
Hawa akina EFF wanahoji eti mtu kapata 84% ya kibali cha watanzania kuwaongoza, inakuwaje kuwaogopa 16% ya walioshindwa wanapoandamana kwa amani? EFF wametumwa na nani?
 
Wizi wa dhahiri na ukiukaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi kama ulivyotokea safari hii kwenye uchaguzi wa 28 October, huhitaji kuleta mtazamaji kuweza kujua uharamia uliofanywa.

Awamu hii imeharibu karibia kila kitu. Imeharibu uwekezaji, umeharibu ajira na sasa imeharibu taswira ya nchi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom